Nilipopanga kila siku akina mama wanashindana kufua halafu bili ya maji tunalipa sawa

Nilipopanga kila siku akina mama wanashindana kufua halafu bili ya maji tunalipa sawa

Habari zenu ndugu zangu,

Lengo la kuleta malalamiko yangu ni kuonya wapangaji vilaza. Kuhusu wapangaji wanao shindana kufua sijui mnavaa Nini maana daily kufua afu bill tunalipa wote sawa.
wanaume tuishi karibu sana na wake zetu, hasa hao wasio na kazi za maana. nilipokuwa nasoma chuo, nilipanga sehemu, wanawake wapangaji wa nyumba ile walikuwa wanagombania kunioshea vyombo na kunipikia chakula, sitamsahau yule mpare aliyetaka kusababisha bwanake animalize, wameolewa ila...., namshukuru Mungu alininusuru.
 
We achia maji chooni yawe yanatiririka muda wote ama mnachangia hadi choo?

Kama ukuta wako unajitegemea otesha maua daily unamwagilia hadi maji yanatirikika kama bwawa.

Hao kuwakomoa kazi ndogo sana.
Wana maneno sana
 
Mwambie mwenye nyumba akufungie au ujifungie Mita yako. Kama ni huduma za Mamlaka ya maji mwambie akupelekee maombi au kama ni huduma ya Mtu binafsi hapo ni rahisi unamfuata na kujiwekea Mita Kwa kumshirikisha mwenye nyumba.

Ila inauma! Upo Bachelor kufua wikiend,alafu unakuta kila siku wapangaji wenzako wana lundo la vyombo na nguo! Bill Kwa mwezi 150k! Mnagawana pasu Kwa pasu!
Tatizo nyumba za uswahilini mashindano kibao
 
Back
Top Bottom