Nilipoteza Kazi kipindi ambacho niliihitaji kuliko nyakati yoyote

Respectfully

Member
Joined
Jan 21, 2022
Posts
16
Reaction score
54
Mimi NI Kijana, Umri Miaka 28 Mkazi Wa Dar Es Salaam!

Wakuu Mtoto Wa Kiume Akikiri Hadharani Kuwa Mambo Ni Magumu Ujue Kweli Ni Magumu, Na Hii Ikiwa Ni Mara Yangu Ya Kwanza Kuandika Chapisho Langu Humu Jamiiforums Licha Ya Kuwa Member Kwa KipindI Kirefu Kidogo

Nilipoteza Ajira Yangu November 2024 Baada Ya Kampuni Niliyokuwa Nikifanyia Kazi Kufilisika , Nyakati Ambazo Mke Wangu Alikua Amekaribia Kujifungua Na Kodi Ya Nyumba Ilikua Ipo Nyakati Za Mwisho, Kiukweli Nilichanganyikiwa Ila Namshkuru Sana Mungu Mke Wangu Alijifungua Salama Na Mtoto Ana Miezi Mitano Sasa Pia Kodi Niliungaunga Na Nikalipa, Akiba Niliyokua Nayo Nilifungua Biashara Ya Gaming Plus Shisha Lounge Ambayo Ndani Ya Miezi Mitatu Ilikufa Baada Ya Kuibiwa Kila Kitu Kwenye ile Ofisi Yangu, Hapo Ndo Kizaazaa Kilipoanza Maana Ilifika Kipindi HadI Diapers Za Mtoto Nikawa Nahama Maduka Tu Kukopa

Kinachonisibu Hivi Sasa Ni Namna Ya Kuendesha Hii Familia Nzuri Isiyo Na Hatia Yoyote Na Inayostahili Malezi Bora Ya Baba Na Mume Kwani Wamenivumiia Kwa Kipindi Kirefu Sana Maisha Yakiwa Magumu Mno🙏🏻🙏🏻

Nduzu Zangu Kwa Yeyote Atayesikia Nafasi Yoyote Ya Kazi Tafadhali Mnikumbuke Ndugu Yenu

Nina Shahada Ya Kwanza Ya Uhusiano Wa Umma Na Masoko Kutoka Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustino, Mwanza Main Campus

Mungu Awabariki Sana🙏🏻
 
This is time ,kwenye wakati mgumu ndio unaweza kubadili maisha au kufanya mabadiriko makubwa ,ukawa bora zaid ya nyuma

Lkn pia ukishindwa kusimama unapotea mazima

Tulia kua makini Yani hiki ndio kipindi cha kukataliwa sana ,Dont give up

Ukiwaza about change, fikiria about relocation
Kwasababu uko na family it going be challenging kidogo lkn go hard brother

Hapa ndio uki kaa una waza bila io shule ulio nayo what else would you do to survive, I know una kitu unaweza fanya try it ,it might be your starting point.

Have a nice weekend
 
Pole sana MUNGU akufanyie wepesi ukafanikiwe, lakini ungekuja na Id yako ya zamani pengine ingekuwa rahisi zaidi (siyo kwa ubaya)
Asante Chica, Pia Shukrani Kwa Ushauri Kuhusu ID yangu ya zamani ila kama utujuavyo binadamu
Pole sana mkuu, usikate tamaa.. One day Yes!
Shukrani Buttler🙏🏻
 
This is time ,kwenye wakati mgumu ndio unaweza kubadili maisha au kufanya mabadiriko makubwa ,ukawa bora zaid ya nyuma

Lkn pia ukishindwa kusimama unapotea mazima

Tulia kua makini Yani hiki ndio kipindi cha kukataliwa sana ,Dont give up

Ukiwaza about change, fikiria about relocation
Kwasababu uko na family it going be challenging kidogo lkn go hard brother

Hapa ndio uki kaa una waza bila io shule ulio nayo what else would you do to survive, I know una kitu unaweza fanya try it ,it might be your starting point.

Have a nice weekend
Kaka hii kubwa sana kwangu na imenitia nguvu mno🙏🏻
 
Mimi NI Kijana, Umri Miaka 28 Mkazi Wa Dar Es Salaam!

Wakuu Mtoto Wa Kiume Akikiri Hadharani Kuwa Mambo Ni Magumu Ujue Kweli Ni Magumu, Na Hii Ikiwa Ni Mara Yangu Ya Kwanza Kuandika Chapisho Langu Humu Jamiiforums Licha Ya Kuwa Member Kwa KipindI Kirefu Kidogo

Nilipoteza Ajira Yangu November 2024 Baada Ya Kampuni Niliyokuwa Nikifanyia Kazi Kufilisika , Nyakati Ambazo Mke Wangu Alikua Amekaribia Kujifungua Na Kodi Ya Nyumba Ilikua Ipo Nyakati Za Mwisho, Kiukweli Nilichanganyikiwa Ila Namshkuru Sana Mungu Mke Wangu Alijifungua Salama Na Mtoto Ana Miezi Mitano Sasa Pia Kodi Niliungaunga Na Nikalipa, Akiba Niliyokua Nayo Nilifungua Biashara Ya Gaming Plus Shisha Lounge Ambayo Ndani Ya Miezi Mitatu Ilikufa Baada Ya Kuibiwa Kila Kitu Kwenye ile Ofisi Yangu, Hapo Ndo Kizaazaa Kilipoanza Maana Ilifika Kipindi HadI Diapers Za Mtoto Nikawa Nahama Maduka Tu Kukopa

Kinachonisibu Hivi Sasa Ni Namna Ya Kuendesha Hii Familia Nzuri Isiyo Na Hatia Yoyote Na Inayostahili Malezi Bora Ya Baba Na Mume Kwani Wamenivumiia Kwa Kipindi Kirefu Sana Maisha Yakiwa Magumu Mno🙏🏻🙏🏻

Nduzu Zangu Kwa Yeyote Atayesikia Nafasi Yoyote Ya Kazi Tafadhali Mnikumbuke Ndugu Yenu

Nina Shahada Ya Kwanza Ya Uhusiano Wa Umma Na Masoko Kutoka Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustino, Mwanza Main Campus

Mungu Awabariki Sana🙏🏻
Kama upo Dar kazi za sales and marketing nyingi sana, kama vipi nenda pale makumbusho mwanga Tower, ghorofa ya 17 Kuna Kampuni ya kusambaza dawa za mbu hua wanatafuta watu wa masoko, peleka CV yako huwezi jua lolote likawa poa, pia usiache kufuatilia job sites, LinkedIn, na sehemu mbalimbali utaiona Nuru mkuu soon, nakuombea Mungu akufanyie wepesi.
 
Hao mawakala wa kukupeleka nje bila milion 2 hujasema bado. apewe realistic options
Take that risk mzee kwea pipa ma agent wapo kazi zipo ni wewe tu utayari wako. Mtumikie kafiri uishi vyema. Miaak 28 na una familia na ujatoboa bila kufanya maamuzi magumu ya haraka mzee unapoteana
 
Back
Top Bottom