Respectfully
Member
- Jan 21, 2022
- 16
- 54
Shukrani My Brother, Imani Yangu Ni Kubwa Mno, Naamini Nitavuka Salama🙏🏻Pole mkuu Kila jaribu Lina mlango wake wa kutokea kikubwa usikate tamaa kupambana.
Asante Chica, Pia Shukrani Kwa Ushauri Kuhusu ID yangu ya zamani ila kama utujuavyo binadamu🙏🏻Pole sana MUNGU akufanyie wepesi ukafanikiwe, lakini ungekuja na Id yako ya zamani pengine ingekuwa rahisi zaidi (siyo kwa ubaya)
Asante Chica, Pia Shukrani Kwa Ushauri Kuhusu ID yangu ya zamani ila kama utujuavyo binadamuPole sana MUNGU akufanyie wepesi ukafanikiwe, lakini ungekuja na Id yako ya zamani pengine ingekuwa rahisi zaidi (siyo kwa ubaya)
Shukrani Buttler🙏🏻Pole sana mkuu, usikate tamaa.. One day Yes!
Kaka hii kubwa sana kwangu na imenitia nguvu mno🙏🏻This is time ,kwenye wakati mgumu ndio unaweza kubadili maisha au kufanya mabadiriko makubwa ,ukawa bora zaid ya nyuma
Lkn pia ukishindwa kusimama unapotea mazima
Tulia kua makini Yani hiki ndio kipindi cha kukataliwa sana ,Dont give up
Ukiwaza about change, fikiria about relocation
Kwasababu uko na family it going be challenging kidogo lkn go hard brother
Hapa ndio uki kaa una waza bila io shule ulio nayo what else would you do to survive, I know una kitu unaweza fanya try it ,it might be your starting point.
Have a nice weekend
Shukrani Kwa Ushauri Mkuu🙏🏻Mkuu hebu jaribu kwenda Zanzibar pia ukajaribu kwenye kazi za ujenzi kama itakupendeza
Hakika kaka🙏🏻kila lenye shari lina kheri yake
Kama upo Dar kazi za sales and marketing nyingi sana, kama vipi nenda pale makumbusho mwanga Tower, ghorofa ya 17 Kuna Kampuni ya kusambaza dawa za mbu hua wanatafuta watu wa masoko, peleka CV yako huwezi jua lolote likawa poa, pia usiache kufuatilia job sites, LinkedIn, na sehemu mbalimbali utaiona Nuru mkuu soon, nakuombea Mungu akufanyie wepesi.Mimi NI Kijana, Umri Miaka 28 Mkazi Wa Dar Es Salaam!
Wakuu Mtoto Wa Kiume Akikiri Hadharani Kuwa Mambo Ni Magumu Ujue Kweli Ni Magumu, Na Hii Ikiwa Ni Mara Yangu Ya Kwanza Kuandika Chapisho Langu Humu Jamiiforums Licha Ya Kuwa Member Kwa KipindI Kirefu Kidogo
Nilipoteza Ajira Yangu November 2024 Baada Ya Kampuni Niliyokuwa Nikifanyia Kazi Kufilisika , Nyakati Ambazo Mke Wangu Alikua Amekaribia Kujifungua Na Kodi Ya Nyumba Ilikua Ipo Nyakati Za Mwisho, Kiukweli Nilichanganyikiwa Ila Namshkuru Sana Mungu Mke Wangu Alijifungua Salama Na Mtoto Ana Miezi Mitano Sasa Pia Kodi Niliungaunga Na Nikalipa, Akiba Niliyokua Nayo Nilifungua Biashara Ya Gaming Plus Shisha Lounge Ambayo Ndani Ya Miezi Mitatu Ilikufa Baada Ya Kuibiwa Kila Kitu Kwenye ile Ofisi Yangu, Hapo Ndo Kizaazaa Kilipoanza Maana Ilifika Kipindi HadI Diapers Za Mtoto Nikawa Nahama Maduka Tu Kukopa
Kinachonisibu Hivi Sasa Ni Namna Ya Kuendesha Hii Familia Nzuri Isiyo Na Hatia Yoyote Na Inayostahili Malezi Bora Ya Baba Na Mume Kwani Wamenivumiia Kwa Kipindi Kirefu Sana Maisha Yakiwa Magumu Mno🙏🏻🙏🏻
Nduzu Zangu Kwa Yeyote Atayesikia Nafasi Yoyote Ya Kazi Tafadhali Mnikumbuke Ndugu Yenu
Nina Shahada Ya Kwanza Ya Uhusiano Wa Umma Na Masoko Kutoka Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustino, Mwanza Main Campus
Mungu Awabariki Sana🙏🏻
Mkuu hebu jaribu kwenda Zanzibar pia ukajaribu kwenye kazi za ujenzi kama itakupendeza
Take that risk mzee kwea pipa ma agent wapo kazi zipo ni wewe tu utayari wako. Mtumikie kafiri uishi vyema. Miaak 28 na una familia na ujatoboa bila kufanya maamuzi magumu ya haraka mzee unapoteana
Una maana gani hapaa?Take that risk mzee kwea pipa ma agent wapo kazi zipo ni wewe tu utayari wako. Mtumikie kafiri uishi vyema. Miaak 28 na una familia na ujatoboa bila kufanya maamuzi magumu ya haraka mzee unapoteana