Nilipoteza Tsh. Milioni 2 kwa kuchanganya Afrikana na Afrika Sana

Daaahhh kuna Watu mmewahi kukutana na vibwengo live mchana kabisa
 
Kijana inaelekea una wenge sana
 
b

beg nimemuachia dereva bajaji me nimshuka na simu tu
Ndio maana mkuu anakwambua kilichokuchanganya ni habari za mimba na sio majina hayo. Sababu hata ungeenda Africana bado usingekumbuka begi ungeshuka na simu tuu. Pia usingepata taarifa njiani usingekuwa distracted kiasi cha kuwa busy na simu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] ujinga tena
Sasa..unapoteza 2 mil sababu ya huyo demu wako..
Ningekuwa ndo babako hakymama siku hiyo..bora ulikimbilia kwa baba ako mdogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa..unapoteza 2 mil sababu ya huyo demu wako..
Ningekuwa ndo babako hakymama siku hiyo..bora ulikimbilia kwa baba ako mdogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi,huwa hamuwezi kuhadithia jambo kwa ufupi?Full of craps!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…