Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
- Thread starter
- #81
inunue JF alafu uweke iko kipengele... si unamuona mwenzako elon anavyoichezea twitter anavyotaka.Hivi JF kwanini isiwekwe requirement ya age.Yaani ukiwa na chini ya miaka 30 huruhusuwi kujiunga Nimewaza tu kwa sauti.
sasa wewe asubuh unadoea kwenu uji wa ulezi wa mdogo wako alaf unatak et kuwa na requirement ya age