Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mimi sababu niliijua ni kwakua nilikua sisomi, huyo jamaa aliekua anakua wa kwanza ni kipanga balaa.Hahaha mkuu unadhani kwanin hukuwa wa kwanza ? Hicho ndo kitu mimi nilianza kukitafuta kwa mshikaji, mwenyewe nilikuwa sisomi na nilikuwa position nzuri tu
Alikua anapiga msuli kinoma, alipofika four alikua wa kwanza mkoa, advance kwenye best top ten ya physics alikuwemo, wakati huo mm nishapoteana kitambo sana na mambo ya mbunye na usharobaro uchwara.