mi nilikuwa mtundu na daftali sishiki na nina kuwa wa 30 kati ya wanafunzi 600 kutwa kwenye mabanda ya video hivyo walimu walikuwa wananishangaa, nili amini kufaulu ni kubahatisha tu wala sio kujua, la saba nika faulia temeke.Sekondari ni kawa ujuaji mwingi motion, american slang kama zote, shuleni sikuwaga naenda na madaftari hivyo walinishangaa watu sana, kujisomea labda siku za mtihani na ni nusu saa tu ,lakini matokeo ya kitoka ni wa 2 kati ya wanafunzi 100 .so wanafunzi walishindwa kunielewa nasomaje mbona hawajawahi kuniona na daftari na nikiingia darasani ni kelele tu? taratibu wakaanza kuniita jiniaz.n.b nilikuwa nafaulu je? usiku ni kilala nilikuwa nauota mtihani ,hivyo nilikuwa nasoma sehemu muhimu tofauti nawale walokuwa wanakesha...namshukuru MUNGU kwa hii talanta maana imenisaidia katika maisha yangu.