Nilipotumia Mbinu ya wachina kufaulu mitihani

Hiyo temeke secondary ni shule ya vijana wa kihuni na vilaza, hivyo basi ulikuwa unawaongoza vilaza.
 
Mimi ni bangi nikivuta tu basi naona hadi mwalimu akiwa anafundisha so nikawa na pass bila shida
Hahahaha kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hope umeacha bangi zako
 
primary tulianza vizuri tu mimi na wana wengine..., kimbembe kilianza tulipo fika darasa la sita si tukaanza kugeukana kila mtu anataka kuwa juu ya mwenzieπŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa usijichanganye ukaomba majibu kwenye mtihani yaani mtu alikuwa anakudanganya ili ufeli yeye awe juu yako...
 
Hahahahaah vijana mkaanza kutaka mademu kwa kigezo cha shule ndo tatizo,
Hope hamkufikia kufanyiana ubaya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…