Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

Nimependa zaidi hiyo kauli yako ya halafu "TULE" halafu tuendelee
 
Haha
 
Ile barabara tayari imekamilika??
Nilipita mwaka jana katikati ilikua rami kipande, halafu kipande kingine vumbi hadi kukaribia tabora kabisa.
 

Ulitumia wese kiasi gani
 
Dah hongera mkuu ,hii kitu naiogopea magari makubwa njiani namna yanavyokupita ,unaweza jikuta mtaroni na huwa hawathamini pikipiki ,

Vp hii changamoto ulikabiliana nayo vp ,maana ujanja wangu pikipiki mwisho mjini,

Ndo mana sipendi pikipiki ambazo ziko chini na hazina nguvu ..imagine una yamaha FZ 09 haka ka kitu ni 3cyl kama ka passo😁 nan anakupita hapo bara baran sipendi piki piki ndogo kwa jinsi unakuta imeminywa wee afu haiendi kiasi kwamba bus hizi zina vts lkn huzikimbii wanakupita wanavoweza hilo ndo tatizo lkn ukiwa na kitu cha maana li kisbo likikupita unaliungia nyuma
 
Ulitumia wese kiasi gani
Haikuzidi elfu arobain na maana full tank dar nilifika dom fresh kabisa nikajaza sema nilivyofika manyoni nikaongezea kidogo kwa hofu unajua barabara ya vumbi kawaida mafuta huwa yanatumika mengi kidogo ila nilifika na mafuta mengi kabisa karibu nusu tank
 
Hongera ulijitoa muhanga ....ka boxer kakiwa kapya ni kazuri sana ila hizi za sa hivi siziaminigi ...na hizo za mo ndo zipi embu weka picha
OG Boxer zile za zamani ni gia nne tu hizi ni gia tano bahati mbaya sina picha ila ndio nyingi kwa sasa na zinatangazwa sana
 
tena hapo kachukua muda mwingi.sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hongera mkuu ,hii kitu naiogopea magari makubwa njiani namna yanavyokupita ,unaweza jikuta mtaroni na huwa hawathamini pikipiki ,

Vp hii changamoto ulikabiliana nayo vp ,maana ujanja wangu pikipiki mwisho mjini,
Ukiwa nayo hiyo kitu na una uzoefu nidhamu ya barabara hayo magari makubwa yatasoma namba
 

hivho kituo cha mwisho sasa[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…