Hebu nieleweshe hapa. Unatumia dk 50s kwa km 20? Huu mbona mwendo mdogo sana kwa pikipiki? Au nmekuelewa vibaya?
Sio bike motosaiko ni bike baskeli mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nieleweshe hapa. Unatumia dk 50s kwa km 20? Huu mbona mwendo mdogo sana kwa pikipiki? Au nmekuelewa vibaya?
Mm mwenyewe nimeshangaa, labda road ni mbaya,
Hapo si unakamua speed ya 70/h ndani ya dakk 15 ushaimaliza.
Boxer za Mo zipo magori Sana mkuu pia Ni comfort kuliko old model..Zimepanda hewani ki design... Moto Ni ule ule.Nakumbuka mwaka 2015 Mwezi 9 baada ya kujichanga changa kidogo nikawa nimesave pesa kiasi nikasema hizi hizi Boxer BM 150 wakati huo ndio zimeanza kushika kasi nikaenda niaenda kuinunua pale mitaa ya Tazara...
Hahahaha mikao changamoto balaa kwa pikipiki hasa ukiendesha kwa muda mrefu, kingine wewe ulichoka mapema kutokana na muda ulioanza safari. Ila hizi za mo bado sijajaribu kwenda nazo safari ndefuBoxer za Mo zipo magori Sana mkuu pia Ni comfort kuliko old model..Zimepanda hewani ki design... Moto Ni ule ule.
Mi naishi Mwanza Saut. niliifata Boxer ya Mo 2019 November Kondoa mkoa wa Dodoma Nilijaza full tenk(32,000) Safari nilianza Saa2 asubuh coz nilikuwa nakamilisha baadhi y nyaraka za ununuzi...
Nina boda boda wangu akishika piki piki anakuuliza unaenda wapi, unamtajiaMimi napenda safari za pikipiki dereva awe makini ila akimbize hadi nihisi tunapaa, tufike sehemu tupumzike. Tule halafu TULE halafu tuendelee na safari. Dear hubby najua upo humu, Natamani Hili lifanyike na nakuaminia kipande hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijaza mafuta mara ngapi mpk unaingia town mkuu?Rufiji dam, Mkuu boxer BM 150 mbona ina unasaba na andiko la kiongozi hapo juu, Heri yako kama hautakua na shaka juu ya hilo. Nilitoka Dar mpaka Arusha na hiyo chombo nakumbuka dereva wa Dar express aliahidi kununua bm150 aliuona mziki wake huko njiani .
Sent using Jamii Forums mobile app
Four wheels move the body...Mwana Mtoka Pabaya,
Mkuu kuna jamaa wanafanya hapa Tanzania wacheki Instagram wanaitwa Dar Bikes and Coffee huwa wanafanya tour. Nimewahi kuwaona mara nyingi wakienda Arusha kwa Misafara maeneo ya Korogwe.
Hawa wanafanya utalii wa kuzunguka maeneo mbalimbali, wengi wana pikipiki za maana.
Hongera sana kwa hiyo adventure, but kama uliifosi sana, ingekuwa vyema ungelala shinyanga kesho yake uamshe tena Mwanza.Boxer za Mo zipo magori Sana mkuu pia Ni comfort kuliko old model..Zimepanda hewani ki design... Moto Ni ule ule.
Mi naishi Mwanza Saut. niliifata Boxer ya Mo 2019 November Kondoa mkoa wa Dodoma Nilijaza full tenk(32,000) Safari nilianza Saa2 asubuh coz nilikuwa nakamilisha baadhi y nyaraka za ununuzi...
Tatizo lilikuw salio mkuu ko ikabidi nivae roho ya paka tuu pia nilitaka kaujiko kidogo kwa kutia uzito wa safariHongera sana kwa hiyo adventure, but kama uliifosi sana, ingekuwa vyema ungelala shinyanga kesho yake uamshe tena Mwanza.