Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Yes, anakuwa anaupasha moto mgongo all the way...dah, una akili sana mjamaa. Ilibidi hata uwe waziri wa afyaUngepata na demu hapo safari yako ingependeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, anakuwa anaupasha moto mgongo all the way...dah, una akili sana mjamaa. Ilibidi hata uwe waziri wa afyaUngepata na demu hapo safari yako ingependeza sana
Ni bora hata hivyo, tusimbeze. Mimi ninaye kakaangu wa kuzaliwa naye, akikaa kwenye piki piki au baiskeli huwa anawashwa makalio. Unadhani mada kama hii ataichukuliaje ikipita mbele yake?Achana nae hawa ndio wale huwa wanajiona wao bora kwenye kila kitu.
Kwa kukusaidia tu tena huyo alichelewa. Kutoka dara saa 10 alfajiri alitakiwa dodoma aisome saa nne asubuhi na si zaidi ya hapo kwa mwendo wa Boxer kwa tunaojua kuzikamuaBoxer umetoka Dar saa 10 Alfajili ukaingia Dodoma Saa 5. Mkuu ebu tuache basi ndugu yangu. Ulikuwa unatembea mwendo wa kilometa ngapi kwa saa? Boxer kumbuka ni pikipiki fupi sana. Ungekuwa na unaendesha XL 250 na kuendelea zile honda ningekuelewa ama ENDURO YAMAHA. Kuna mtu katoa angalizo kuwa hakuna mtu wa kusoma kakosea angesema hakuna mtu wa kukuelewa.Scania ama hizi Youtong zinakoma na Dar Tabora. Ebu njoo ufafanue vyema . Mimi napinga kbs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa M 2.5 utapata boxer mpya kabisa kama ni kwa kuenjoy sio mbaya sana ila kama utapata hata Baja Honda 250 CC ambayo ipo vizuri utaipenda sema changamoto ya Honda kuna baadhi ya mikoa spea zinasumbuaHuu uzi nimeupenda sana. Nataka nijichange nivute pikipiki ya matembezi na bodaboda nkiwa off. Mkuu mleta mada ebu NISHAURI nivute chombo gani yenye uafadhali. Pesa 2.5M
Pesa M 2.5 utapata boxer mpya kabisa kama ni kwa kuenjoy sio mbaya sana ila kama utapata hata Baja Honda 250 CC ambayo ipo vizuri utaipenda sema changamoto ya Honda kuna baadhi ya mikoa spea zinasumbua
Boxer toleo la sasa changamoto spea za hondaHapo unaongelea boxer gani? Na
Changamoto zake kwenye mishe mishe ni zipi?
Mm nipo Moro labda spea zipo kwa hiyo Honda.
Haina neno mkuu. Ngoja nifanye mambo, niwe na enjoy.Boxer toleo la sasa changamoto spea za honda
Unaendesha pikipiki masaa yote hayo unadhani huyo demu angemfanya nini? au unataka awabebe watu mizigo?Ungepata na demu hapo safari yako ingependeza sana
Mkuu ni vyuma tu. ila one time lazima nitamiliki mojawapo.
Dactari mmoja alisema kutembea kwa pikipiki mda mrefu kuna dhofisha nguvu za kiume, kwamba madereva bodaboda wapo kwenye hatari hiyo.Mwana Mtoka Pabaya,
Shida sie tunaamini issue kama hizo ni za wazungu tu ila kiukweli pamoja na changamoto za hapa na pale unaenjoy sana maana kama dom nilipumzika karibu masaa mawili manyoni pale wakati chombo inalekebishwa unapumzika fresh halafu unakula unapopataka vile vile niliokoa karibu laki na kidogo
Dactari mmoja alisema kutembea kwa pikipiki mda mrefu kuna dhofisha nguvu za kiume, kwamba madereva bodaboda wapo kwenye hatari hiyo.Mwana Mtoka Pabaya,
Shida sie tunaamini issue kama hizo ni za wazungu tu ila kiukweli pamoja na changamoto za hapa na pale unaenjoy sana maana kama dom nilipumzika karibu masaa mawili manyoni pale wakati chombo inalekebishwa unapumzika fresh halafu unakula unapopataka vile vile niliokoa karibu laki na kidogo
Mkuu naomba nkuulize kitu kuhusu boxer.mkuu naendesha boxer mwaka wa tano huu amini ukiitunza boxer utaish nayo maisha marefu sana ila ata kama ikiwa ya mwaka gani usipo itunza mzee nayo itakutupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakutaftia screenshot ya kilichotruck distance na kila kitu coz ni ya way back 2015 till sasa ...sa hivi nimepumzikaga bike...but huwa nafanya above 20kph as average pakikyooka sana sana n had 31 as average ...nishafanya safar ya mwsho ni kama 22km kwenda tu and my average speed was 31kph sasa usichoamin nn ..
Sikupata any breakdown zaidi ya kuongeza upepo tu safar imeanza sa 4am nafika arusha around 10pm sasa usichoamini nini labda
Last trip niltoka arusha to moshi niltumia 4hours tu
Niko na road bike 21 speed aluminium frame ina kilo 7 tu...
Mm mwenyewe nimeshangaa, labda road ni mbaya,Hebu nieleweshe hapa. Unatumia dk 50s kwa km 20? Huu mbona mwendo mdogo sana kwa pikipiki? Au nmekuelewa vibaya?
Mm mwenyewe nimeshangaa, labda road ni mbaya,
Hapo si unakamua speed ya 70/h ndani ya dakk 15 ushaimaliza.
Kwenye lami 20km unazikamua ndani ya dakk 10. Labda awe muoga.Kabisa... Maybe barabara ni ya mahandaki. Watu tunazungumzia 100 kms kwa saa yaani dk 60. Yeye anasema 20 mins kwa dk 50s? Na anasisitiza kuwa yupo fit sana ?