Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

Boxer umetoka Dar saa 10 Alfajili ukaingia Dodoma Saa 5. Mkuu ebu tuache basi ndugu yangu. Ulikuwa unatembea mwendo wa kilometa ngapi kwa saa? Boxer kumbuka ni pikipiki fupi sana. Ungekuwa na unaendesha XL 250 na kuendelea zile honda ningekuelewa ama ENDURO YAMAHA. Kuna mtu katoa angalizo kuwa hakuna mtu wa kusoma kakosea angesema hakuna mtu wa kukuelewa.Scania ama hizi Youtong zinakoma na Dar Tabora. Ebu njoo ufafanue vyema . Mimi napinga kbs.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kukusaidia tu tena huyo alichelewa. Kutoka dara saa 10 alfajiri alitakiwa dodoma aisome saa nne asubuhi na si zaidi ya hapo kwa mwendo wa Boxer kwa tunaojua kuzikamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi nimeupenda sana. Nataka nijichange nivute pikipiki ya matembezi na bodaboda nkiwa off. Mkuu mleta mada ebu NISHAURI nivute chombo gani yenye uafadhali. Pesa 2.5M
 
Huu uzi nimeupenda sana. Nataka nijichange nivute pikipiki ya matembezi na bodaboda nkiwa off. Mkuu mleta mada ebu NISHAURI nivute chombo gani yenye uafadhali. Pesa 2.5M
Pesa M 2.5 utapata boxer mpya kabisa kama ni kwa kuenjoy sio mbaya sana ila kama utapata hata Baja Honda 250 CC ambayo ipo vizuri utaipenda sema changamoto ya Honda kuna baadhi ya mikoa spea zinasumbua
 
Hapo unaongelea boxer gani? Na
Changamoto zake kwenye mishe mishe ni zipi?

Mm nipo Moro labda spea zipo kwa hiyo Honda.
 
Niliwahi kupewa lift ya pikipiki mwaka 2010 kutoka Kidahwe mwisho wa lami hadi Kibondo mjini takribani kilometa 200 na ushee.
Nilikua sina koti na dereva alikua na koti zito.

Barabara ni ya vumbi balaa halafu nyembamba. Dereva alitumia masaa 6 alikua na pikipiki ya kichina. Nmefika Kibondo natetemeka balaa halafu nmejaa vumbi.

Nilioga nikalala kama masaa 3 nikapiga misele kesho yake nikapanda gari kuelekea Kahama.

Siwezi kusahau hii safari.
 
Mwana Mtoka Pabaya,
Shida sie tunaamini issue kama hizo ni za wazungu tu ila kiukweli pamoja na changamoto za hapa na pale unaenjoy sana maana kama dom nilipumzika karibu masaa mawili manyoni pale wakati chombo inalekebishwa unapumzika fresh halafu unakula unapopataka vile vile niliokoa karibu laki na kidogo
Dactari mmoja alisema kutembea kwa pikipiki mda mrefu kuna dhofisha nguvu za kiume, kwamba madereva bodaboda wapo kwenye hatari hiyo.

Hebu nieleweshe hapa. Unatumia dk 50s kwa km 20? Huu mbona mwendo mdogo sana kwa pikipiki? Au nmekuelewa vibaya?

Ntakutaftia screenshot ya kilichotruck distance na kila kitu coz ni ya way back 2015 till sasa ...sa hivi nimepumzikaga bike...but huwa nafanya above 20kph as average pakikyooka sana sana n had 31 as average ...nishafanya safar ya mwsho ni kama 22km kwenda tu and my average speed was 31kph sasa usichoamin nn ..

Sikupata any breakdown zaidi ya kuongeza upepo tu safar imeanza sa 4am nafika arusha around 10pm sasa usichoamini nini labda

Last trip niltoka arusha to moshi niltumia 4hours tu

Niko na road bike 21 speed aluminium frame ina kilo 7 tu...
 
Kabisa... Maybe barabara ni ya mahandaki. Watu tunazungumzia 100 kms kwa saa yaani dk 60. Yeye anasema 20 mins kwa dk 50s? Na anasisitiza kuwa yupo fit sana ?

Mm mwenyewe nimeshangaa, labda road ni mbaya,

Hapo si unakamua speed ya 70/h ndani ya dakk 15 ushaimaliza.
 
Back
Top Bottom