Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

Ma dem wanazingua sana kwenye piki piki, kuna mmoja mi nshawahi mwambia NJOO UENDESHE WEWE, akabaki kimya
Hahahahaha mmoja mjini dar nilimshusha nikampa nauli apande daladala
 
  • Thanks
Reactions: sab
Hizi tour za kwenda mkoani kufanya utalii wa ndani nitafanya nikinunua gari soon
 
Boxer umetoka Dar saa 10 Alfajili ukaingia Dodoma Saa 5. Mkuu ebu tuache basi ndugu yangu. Ulikuwa unatembea mwendo wa kilometa ngapi kwa saa? Boxer kumbuka ni pikipiki fupi sana. Ungekuwa na unaendesha XL 250 na kuendelea zile honda ningekuelewa ama ENDURO YAMAHA. Kuna mtu katoa angalizo kuwa hakuna mtu wa kusoma kakosea angesema hakuna mtu wa kukuelewa.Scania ama hizi Youtong zinakoma na Dar Tabora. Ebu njoo ufafanue vyema . Mimi napinga kbs.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dar-Dom ni Km 450. Kama alitembea wastani wa Km70/h yuko sawa kabisa. Kumbuka pikipiki haina Tochi
 
Ndo mana sipendi pikipiki ambazo ziko chini na hazina nguvu ..imagine una yamaha FZ 09 haka ka kitu ni 3cyl kama ka passo[emoji16] nan anakupita hapo bara baran sipendi piki piki ndogo kwa jinsi unakuta imeminywa wee afu haiendi kiasi kwamba bus hizi zina vts lkn huzikimbii wanakupita wanavoweza hilo ndo tatizo lkn ukiwa na kitu cha maana li kisbo likikupita unaliungia nyuma
H

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom