The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
- Thread starter
- #141
Hahahahaha mmoja mjini dar nilimshusha nikampa nauli apande daladalaMa dem wanazingua sana kwenye piki piki, kuna mmoja mi nshawahi mwambia NJOO UENDESHE WEWE, akabaki kimya