Nilisafiri na shemeji, kilichotokea naomba Mungu kaka asijue

Nilisafiri na shemeji, kilichotokea naomba Mungu kaka asijue

Pedra buyer

Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
97
Reaction score
32
Ni shemeji yangu mke wa kaka yangur, sijui lengo lake nini kwangu tunaheshimiana vya kutosha sina utani nae hata kidogo. Ni mfanyabiashara mara nyingi husafiri kwenda kuchukua mzingo akiwa mwenyewe mara chache na mme wake, kilinishangaza siku shemeji kanipigia simu kwamba "nijiandae nimekata tiketi mbili mimi na wewe keshokutwa naenda na wewe" kwangu ikawa kama saprise flan hivi kwani sikuwai fika huko anakoenda.

Siku ikafika safari ikaanza tulifika salama.akachukua usafiri had I hotel ndipo vituko vikaanza, akachukua room moja badala mbili nikamwambia vipi si ungechukua viwili akaniambia wasiwasi wako nini? Basi nikawa mpole nikajua labda anarafiki zake huko ataenda lala mimi ataniacha hapa kumbe! Ndo kwanza kuingia kajibwaga kitandani nikiwa nashangaa shangaa kavua nguo kajifunga kanga kaingia bafuni mbele yangu.

Nikabaki natoa macho nikawa kama nimepata ganzi flani ya kunitoa ufahamu, nilivyomaliza kuoga ikabidi ni muulize kulikoni mbona sielewi? Anacheka we si shemeji yangu unaogopa mini?" Kanijibu"basi na mimi nikaona isiwe kesi namauchovu yangu nikalala nimekuja kushtuka tupo kama tulivyozaliwa, shuka moja kitanda kimoja nikaonja utamu wa shemeji. Kaka nisamehe na naomba usijue japo nimetoboa siri mwenyewe, shemeji umeniponza.
 
Ishu sio kaka yako kujua
Ishu ni shemeji atarudi tena na tena

Some women wana prefer mtu kama wewe ambae nae anaogopa mumewe asijue
na wa karibu akikutaka anakupata mda wowote
kazi kwako
 
Pedra buyer

Kama wewe siyo mchaga wa Rombo sijui

"shemeg........ Shemegi........ Shemeg,.... Kila kona,
 
Last edited by a moderator:
Pedra buyer

Uliona wapi mwanamke anfanya biashara za China! Ndo siri yao hiyo, usiogopea sana hapo mlikuwa mnazindikia inshu!
Ni mihela tu kama Kebby's Hotel!
 
Last edited by a moderator:
Hujajisikia kinyaa mkuu?
Mi nikishajua mwanamke ametembea ndugu yangu wa aina yeyote nasikia kinyaa kikuu. Siwezi kula sehemu anayokula ndugu yangu.

Hivi mwanaume utakosaje msimamo? Unalazimishwa na mwanamke na wewe unakubali?

Hiyo kesi haiwezi kuisha kirahisi hivyo na itaisha vibaya sana. Na hakuna siri, ipo siku itafahamika tu.
 
Haya mambo haya ni shidaa...unamtafuna mke wa kaka yako!? ila karma wont leave you safe. Hii dunia hii utaniambia.
 
Tataizo umeendeshwa na hisia. kazi ipo hapo. mwanaume usiendeshwe na hisia. umemkosea sana kaka
 
Hujajisikia kinyaa mkuu?
Mi nikishajua mwanamke ametembea ndugu yangu wa aina yeyote nasikia kinyaa kikuu. Siwezi kula sehemu anayokula ndugu yangu.

Hivi mwanaume utakosaje msimamo? Unalazimishwa na mwanamke na wewe unakubali?

Hiyo kesi haiwezi kuisha kirahisi hivyo na itaisha vibaya sana. Na hakuna siri, ipo siku itafahamika tu.

sidhani kama itafichuka
 
Alijishtukia tu kavuliwa nguo...

Hahahahah

Labda akili aliziacha nje ya mlango


mwanaume mzima unalala hujitambui hadi unavuliwa nguo?njoo ulale na mimi nikushughulikie ,subiri na wewe mke wako aje kugogwa na mdogo wako
 
Back
Top Bottom