Pedra buyer
Member
- Apr 26, 2015
- 97
- 32
- Thread starter
- #21
huo msamaha umemuomba kaka yako au
nimefanya kama ombi limfikie kimiujiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo msamaha umemuomba kaka yako au
nimefanya kama ombi limfikie kimiujiza
ukome kubebwa bebwa uliambiwa kuna kitu cha bure
hii kali. ila chunga sana hisia isikuendeshe we mtoto wa kiume
sawa mkuu,najutia sana ila hakuna namna ndo limeshatokea.
wew hukuudwa kwa material ya kiume kweli unalala hujui umevuliwa vipi hebu kagua tigo wenda hata umebebeshwa sembe wew
ha ha haha ulipenda kupaaa we jinga kweli unadhani kakupeleka mkashangaane.... jiandae kupanda pipa tena yeuwiisikujua,nilichekelea Tu pipa.laiti ningejua
ha ha haha ulipenda kupaaa we jinga kweli unadhani kakupeleka mkashangaane.... jiandae kupanda pipa tena yeuwii
Kwa kukuangalia wewe na shemegi yako huyo mapepe ni kuwa huwa mnataniana mda mwingi kaka yako anapokuwa hayupo. Na huyo shegemi yako alishakuona kuwa una mtamani ndio maana aliopovua nguo na kwenda kuoga hukuona aibu yoyote bali ulikenua mimeno yako. Nashikwa na hasira ninapoona posti kama hizi maana najiona kama mke wangu ndiye aliye liwa. Kumbuka hiyo dhambi itakutesa maisha yako yote hadi utakapoiungama kwa kaka yako. Yasome maandishi ya The Boss ndio utajua hatma yako kama sio kukatwa mapanga au kuliwa tigo na wahuni
Hapo sijui kama CONDOM ilihusika
Hadithi Hadithi, Utamu njoo ,Uongo Kolea.