Nilisafiri na shemeji, kilichotokea naomba Mungu kaka asijue

Pedra buyer

Wewe ni mmoja wa wapuuzi...! Malipo ni hapa hapa duniani lazima mkeo nae afanyiwe zaidi ya hiki ...subiri ..na dhambi hii itakutafuna kama ni kweli!

Cha kushangaza unaweza kukuta kaka yako ana kupa kila kitu lakini wewe unamfanyia hiki....!
 
Last edited by a moderator:
nimefanya kama ombi limfikie kimiujiza

sikujua,nilichekelea Tu pipa.laiti ningejua

sawa mkuu,najutia sana ila hakuna namna ndo limeshatokea.

hujawai kutana na ya dunia wewe unaropoka Lisa mdomo Mali yako.

kweli hiyo dhambi inanichanganya ndio maana nimetoboa siri humu

ajali kazini

umeniponza

sidhani kama itafichuka

nimeomba samahani ananisamehe japo kosa so langu
an insane!
Hakika najuta kupoteza muda wangu kusikitika sababu ya hii kahawa!
Hii naomba umpe mjukuu wa Lemutuz .. BADILI TABIA..hii ni ya mchai chai...najuta kukomenti...n
 
Last edited by a moderator:
Sasa sijui bro wako akikudaka unampigia mkewe atakutatua marinda ya 0713 au atakusamehe?
 
Duh! Hii hatari sana. Mkuu karma is a bitch. Time will tell
 
Ishu sio kaka yako kujua
Ishu ni shemeji atarudi tena na tena

Some women wana prefer mtu kama wewe ambae nae anaogopa mumewe asijue
na wa karibu akikutaka anakupata mda wowote
kazi kwako

This is the truth!.
 

Kweeli shule imefugwaaa!
 
Sijui nikuambie hongera au pole,any way shemeji yetu ana shanga lakini au kiuno cheupe kama chako?
Mkuu, kaka yako atakusamehe vipi ikiwa hajui kama umemkosea? Kama kweli unataka usamehewe fanya hivi,nenda kwa bro wako kisha umweleze kuwa umemgegeda mkewe hivyo akusamehe. Akikusamehe ukome kumtafunia mkewe ila akikataa halafu akakuacha hai basi endeleeni kupeana raha za dunia coz you never know pengine hata yeye kakugongea sana tu.
 
mm nasubiri mrudi tu, talaka tatu zitamfuata na ww undugu ufe

😂😂😂😂😂😂 dogo sio kila mpira wa kona lazima aunganishe. Mke wa mtu sumu hata hiwe mtu mwenyewe hawe kakaako
 
Jinga kabisa,yani 'unamtohomba' shemeji yako alafu unakuja kutangaza?anyway,ebu nipe namba ya shemeji yako ili nimkanye asirudie!!!
 

Huo ni uongo
 
Mmmh kama unataka ile siri umeweka hapa ili???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…