William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kwa uzito.
1. Tayari kocha mkuu wa stars na Msaidizi Moroko wamekiri kumshauri arudi Yanga ili acheze stars.
2. Alipofika tu airport akapigwa picha akiwa na wachezaji wa Yanga.
3. Tff iliwaacha Kapombe na mohamedi huseni. Ili feitoto aone kuwa mchezaji mkubwa Basi ucheze Yanga.
4. Kwa uhalisia huo feitoto hakuitwa na kocha Bali Tff wanatumiwa na Yanga.
5. Je wakushauriwa kulinda kiwango Cha fei kwa baadae je kwanini kocha amshauri tu kurudi Yanga badala ya kumsikiliza na kushauri Tff na Yanga Kama Kuna njia mbadala ya kufanya ili feitoto acheze lkn bila kulazimisha arudi Yanga.
6. Tff walitaka na nabi awe sehemu ya benchi la ufundi stars ili aongee na fei live baada ya simu zake kugonga mwamba.
7. Kwaiyo Taifa stars hii likuwa ya kumrudisha tu fei Yanga.
8 Yanga inataka imuuze fei kwa Bei ya kumnunulia Aziz ki.