Nilisema kuhusu wahaini kuachiwa ili kumjenga kisiasa Rais Samia hatimaye leo yametimia

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini,

Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika.

Hatimaye yametimia leo.
 
Kwamba harakati zote zile za kamatakamata kumbe kuna kipande cha script ya hotuba kilikuwa kinapikwa?
 
ila ni wote kawaachia au kasema kwa waliofata mkumbo ina mana kuna wengine bado wataendelea kushikiliwa pale kama yule Niffer au.
 
Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini,

Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika.

Hatimaye yametimia leo.
Huyo mpumbavu hakuna wa kumpa nafasi Tanganyika...ushenzi wake wa kuuza Tanganyika kwa wajomba zake waarabu kwa kupitia umbumbumbu wa mashekh wa kiislamu hakuna asiye ujua .....
 
Attachments

  • 20251113_220421.jpg
    20251113_220421.jpg
    56.6 KB · Views: 26
Kwa haya maneno ya leo wa Tanzania wakiyaamini basi watakuwa ma zwazwa na wajinga sana .
 
Back
Top Bottom