Nilisema, ubora wa hizi timu upimwe baada ya kucheza ugenini

Nadhani leo nimeeleweka baada ya mechi ya Dodoma v Simba. Walau tutaanza kuchagua maneno na kuchunga ndimi. Tuendelee kujenga timu
Wataelewa tu mdogo mdogo, refa kaokoa jahazi Leo, walidhani yanga alifunga magoli kule mikoani kwa kubahatisha, walifunga kutokana na ubora wao kule sio rahisi kama timu yako ni ungaunga mwana ndio ivyo utasubilia refa afanye yake kama Leo🤣🤣
 
Ni kweli
 
Nadhani leo nimeeleweka baada ya mechi ya Dodoma v Simba. Walau tutaanza kuchagua maneno na kuchunga ndimi. Tuendelee kujenga timu
Simba zote unazozifajamu wewe ..hazijawahi kushinda zaidi ya goli moja Jamhuri
 
Na wale waliocheza kwao na kupata kamoja tunawapimaje?
 
Back
Top Bottom