Nilisema, ubora wa hizi timu upimwe baada ya kucheza ugenini

Nilisema, ubora wa hizi timu upimwe baada ya kucheza ugenini

Nadhani leo nimeeleweka baada ya mechi ya Dodoma v Simba. Walau tutaanza kuchagua maneno na kuchunga ndimi. Tuendelee kujenga timu
Mechi ya Azam vs Simba usisahau kuwa mnyama alikuwa ugenini
 
Back
Top Bottom