Uchaguzi 2020 Nilishawaambia muengueni Tundu Lissu, hamkusikia. Oneni!

Hakuna my mbaya asilimia 100 wala hakuna mzuri asilimia 100 . Mbona anaponda tu ya JPM? Ina maana hana mazuri aliyofanya?
 
Huyo Magu mimi nimeshamwambia simpi, ila Lisu naye hapati maana kaweka ushirika na Wazungu kwa kiasi kikubwa
Hao wazungu ndio mwawajua Leo? Mbona mnaishi nao kwenye migodi?au wao sio wazungu viongozi wakiugua wanatibiwa bongo? Siwanaenda kwa wazungu? Kikwete hakua na urafiki na wazungu? Acheni bana kumchafu mtanzania mwenzetu kisa alienda kutibiwa nje
 
Mkuu, muungano wowote ule wa nchi mbili ama zaidi ni wa hiari, na tena hutokea kwa sababu, maslahi na mazingira maalum. Na kupitia kwayo muungano unaweza kuvunjika ama kuendelea.

Tundu Lissu hajakurupuka kwa kuuzungumzia aina ya muungano tuliokuwa nao, huu ndiyo msimamo wake hata wakati ule wa Bunge la Katiba ambalo CCM kwa kiburi na kwa kujali maslahi yake likalihujumu. Suala muhimu ni kufanya "referendum" ili kujiridhisha ya kuwa Wanzabari wanauridhia muungano huu, na pia use ktk mfumo gani.

Muundo wa muungano wa serikali mbili ni hitaji la CCM, kwa hiyo ni lazima watu wawe na mtizamo tofauti na huo. Kwanza wala siyo dhambi ana kukiuka sheria endapo mtu atakuwa na matamanio kama hayo. Tatizo kubwa la watu wamefungia fikra zao ndani ya kasha, kiasi kwamba hawawezi kuona mazuri mengine yaliyopo nje ya kasha.

Uchakavu wa fikra za kimaendeleo wa CCM, imeua kwa kiasi kikubwa uvumbuzi na ugunduzi wa vitu muhimu sana kwa nchi yetu. Hasara hii inaletwa na kufungwa minyororo na itikadi iliyopitwa na wakati, iliyotamalaki na akili za wana CCM waliokuwa wengi kubung'aa ndani ya "socialism hangover"
 
Kwa akili yako FUPI huo utafiti wa kujua kama wengi wao wako nje ya Nchi uliufanya lini na ukubwa wa sample yako ulikuwa ni upi?

Wapiga kura wa Twitter hao, wengi wao wakiwa nje ya nchi wanawashwa washwa.
 
Je hatuwezi kuandaa mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa sehemu ya Mkoa wa nchi hii. Kiukweli mimi sio muumini wa kuiondoa Zanzibar, tena nilikuwa naiwazia Burundi na Rwanda(utaona naota)
 
Kwa akili yako FUPI huo utafiti wa kujua kama wengi wao wako nje ya Nchi uliufanya lini na ukubwa wa sample yako ulikuwa ni upi?
2015.

Wewe akili zako NDEFU ndo zimekujuza hiyo kura ni representative ya wapiga kura halisi kwa kiasi gani, na yamekidhi vigezo gani ili matokeo yake yaaminike?
 
Jibu swali kuhusu hitimisho lako kwamba washiriki wengi wanaishi nje badala ya kuruka ruka!

2015.

Wewe akili zako NDEFU ndo zimekujuza hiyo kura ni representative ya wapiga kura halisi kwa kiasi gani, na yamekidhi vigezo gani ili matokeo yake yaaminike?
 
Usimpangie , mnashindwa kumpangia mwenyekiti wenu wa kijani kibichi , mnapelekeshwa mwendo wa kihutu , mbele geuka , nyuma geuka , hata hamkohoi , halafu unamkurupukia Lissu kumpangia cha kuongea ? Hebu shika adabu yako . Halafu ungetumia muda wako kumpigia kampeni na chama chako labda mngeondokana na aibu ya kujaza watoto wa shule mikutanoni
IMG_20200907_190746.jpg
IMG_20200907_165823.jpg
 
CCM ndio chanzo cha makanisa znzbar hatutaki tumechoka tunataka quraan ndo iwe katiba yetu mara tu baada ya kushinda na kukabidiwa nchi jambo la mwanzo ni kuvunja muungano fake baina ya tanganyika na sisi. kwa kwel tumechoka
kwa mujibu wako weka bayana tatizo ccm, makanisa, katiba ambayo ni Qur'an au muungano mbona hauko specific
 
Tatizo ni vyote hatuvitaki maana vinaenda sawa tu kama bata
huo muungano unajua kweli hata mababu zako walikuwa na lengo gani mpaka wakaungana ? Unajua mifumo inayoitumia Qur'an kama katiba yao? Unajua adhari za kuvunjika kwa muungano kwa nchi hizi mbili? Tuanzie hapo?
 
Back
Top Bottom