Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Hakuna my mbaya asilimia 100 wala hakuna mzuri asilimia 100 . Mbona anaponda tu ya JPM? Ina maana hana mazuri aliyofanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wazungu ndio mwawajua Leo? Mbona mnaishi nao kwenye migodi?au wao sio wazungu viongozi wakiugua wanatibiwa bongo? Siwanaenda kwa wazungu? Kikwete hakua na urafiki na wazungu? Acheni bana kumchafu mtanzania mwenzetu kisa alienda kutibiwa njeHuyo Magu mimi nimeshamwambia simpi, ila Lisu naye hapati maana kaweka ushirika na Wazungu kwa kiasi kikubwa
Wapiga kura wa Twitter hao, wengi wao wakiwa nje ya nchi wanawashwa washwa.
Mkuu, muungano wowote ule wa nchi mbili ama zaidi ni wa hiari, na tena hutokea kwa sababu, maslahi na mazingira maalum. Na kupitia kwayo muungano unaweza kuvunjika ama kuendelea.
Tundu Lissu hajakurupuka kwa kuuzungumzia aina ya muungano tuliokuwa nao, huu ndiyo msimamo wake hata wakati ule wa Bunge la Katiba ambalo CCM kwa kiburi na kwa kujali maslahi yake likalihujumu. Suala muhimu ni kufanya "referendum" ili kujiridhisha ya kuwa Wanzabari wanauridhia muungano huu, na pia use ktk mfumo gani.
Muundo wa muungano wa serikali mbili ni hitaji la CCM, kwa hiyo ni lazima watu wawe na mtizamo tofauti na huo. Kwanza wala siyo dhambi ana kukiuka sheria endapo mtu atakuwa na matamanio kama hayo. Tatizo kubwa la watu wamefungia fikra zao ndani ya kasha, kiasi kwamba hawawezi kuona mazuri mengine yaliyopo nje ya kasha.
Uchakavu wa fikra za kimaendeleo wa CCM, imeua kwa kiasi kikubwa uvumbuzi na ugunduzi wa vitu muhimu sana kwa nchi yetu. Hasara hii inaletwa na kufungwa minyororo na itikadi iliyopitwa na wakati, iliyotamalaki na akili za wana CCM waliokuwa wengi kubung'aa ndani ya "socialism hangover"
Kwani Zanzibar ikiwa nchi tatizo lipo wapi? Je hawana akili? Hawajiwezi?
2015.Kwa akili yako FUPI huo utafiti wa kujua kama wengi wao wako nje ya Nchi uliufanya lini na ukubwa wa sample yako ulikuwa ni upi?
Rais wa zanzibar anaongoza nchi au Mkoa?
2015.
Wewe akili zako NDEFU ndo zimekujuza hiyo kura ni representative ya wapiga kura halisi kwa kiasi gani, na yamekidhi vigezo gani ili matokeo yake yaaminike?
kwa mujibu wako weka bayana tatizo ccm, makanisa, katiba ambayo ni Qur'an au muungano mbona hauko specificCCM ndio chanzo cha makanisa znzbar hatutaki tumechoka tunataka quraan ndo iwe katiba yetu mara tu baada ya kushinda na kukabidiwa nchi jambo la mwanzo ni kuvunja muungano fake baina ya tanganyika na sisi. kwa kwel tumechoka
Kuna mkoa gani wenye kiti UN?Na ndio maana kuna migogoro.
Ipigwe kura Zanzibar iwe mkoa wa Tanganyika tumalize huu ugomvi
Akili zangu FUPI hazijanipa sababu za kuwekeza kwenye kukupa uelewa huo.Jibu swali kuhusu hitimisho lako kwamba washiriki wengi wanaishi nje badala ya kuruka ruka!
kwa mujibu wako weka bayana tatizo ccm, makanisa, katiba ambayo ni Qur'an au muungano mbona hauko specific
huo muungano unajua kweli hata mababu zako walikuwa na lengo gani mpaka wakaungana ? Unajua mifumo inayoitumia Qur'an kama katiba yao? Unajua adhari za kuvunjika kwa muungano kwa nchi hizi mbili? Tuanzie hapo?Tatizo ni vyote hatuvitaki maana vinaenda sawa tu kama bata