Kama mtachagua upinzani kodi zenu nitazikusanya kwa nguvu ila barabara siwajengei ng'o! Zanzibar kama wana akili si heri wajinasue mapema, kuliko huu upumbavu wetu huku bara!Je hatuwezi kuandaa mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa sehemu ya Mkoa wa nchi hii. Kiukweli mimi sio muumini wa kuiondoa Zanzibar, tena nilikuwa naiwazia Burundi na Rwanda(utaona naota)
Mazuzu tumemwelewa sana tuSijui nimekuelewa peke yangu au kuna Zuzu mwingine kama Mimi amekuelewa?
Usisahau Ibara ya 41 kifungu kidogo cha 7 kwenye katiba ya JMTKura yangu nilimpa 2015 hiyo imenitesa mpaka saizi nirudie tena kosa ? Noooooo bora nife nitoweke kwenye sura ya dunia Ila siwezi rudia kosa wanao neemeka ni ccm peke yao wananchi wa kawaida sisi tumesahaulika nooo kura yangu bora iende upinzani tu hakuna namna
Umegundua mabango ya ccm hayasemi chagua ccm bali yanasema chagua magufuli.Unataka asipotangazwa awachekee? Acha awakazie mmezidi wizi
Hil neno "kiazi" huwa linachekesha sana anapo batizwa mtu na akil zake πππ. Ni kama dharau flan hiv .We kiazi sana yaani unalazimisha imani uliyorithishwa ndiyo uwe ukweli.
Tuambie Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili ni ipi na ipi?
Nyie ndo wala nguruwe kisiriTunataka Zanzibar yetu tuimiliki kwa imaan yetu maana munazidi kujenga makanisa tu mutuachie unguja yetu tumechoka.
Risasi 16,hiyo ndo karma.ccm oyeeMtu anasema asipotangazwa mshindi safari anakinukisha.
Nashangaa hata Magufuli wanayesema ana roho mbaya anamuacha anaongea pumba, ningekuwa mimi saa hizi angekuwa jela kwa matamshi ya kichochezi.
Ongeza sauti[emoji441][emoji441]Mimi sijawahi kumdhulumu Mtu Mkuu.
Kuhusu Ajira, nimeshamwambia Magufuli sitamchagua hata alie, kama hanipi kula kwa nini nimpe kura. Aniombe nimuajiri alafu yeye hata kuniajiri. Nilishamuandikia.
Mimi sina ufuasi wa kipuuzi