Uchaguzi 2020 Nilishawaambia muengueni Tundu Lissu, hamkusikia. Oneni!

Uchaguzi 2020 Nilishawaambia muengueni Tundu Lissu, hamkusikia. Oneni!

Huna pointi kaa chini labda udeki ndio saizi yako acha wanaume waongee ukweli
 
Aise

IMG_20200907_220718.jpeg
IMG_20200907_220724.jpeg
IMG_20200907_220721.jpeg
 
Kwa hiyo Zanzibar ni Kata au Tarafa? Lissu amekosea kusema Zanzibar ni Nchi?
 
Kwa matumaini fake kama haya kwanini usikose raha, mkuu lisu ni fungu LA kukosa, ...... Utapata kunyongo bure, raha jipe mwenyewe..... Kwanini ujitese hivi.
 
We kiazi sana yaani unalazimisha imani uliyorithishwa ndiyo uwe ukweli.

Tuambie Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili ni ipi na ipi?
Achana nae zezetaa huyooo
 
Mwambie Robert ashike adabu zake na arudi kunyonya maziwa ya aliemzaa yamtoshe.

Waliikuta Zanzibar kabla ya Muungano ikiwa na maendeleo kuliko Tanganyika. Ilipoingia kwenye Muungano imefishwa yote. Miaka 50+ Zanzibar leo tunahangaika na vitu vya kipuuzi. Kisiwa kidogo tu kinakosa barabara nzuri, kisiwa kidogo tu maji hata mjini shida. Mataifa ya nje yakitaka kuisaidia Zanzibar JMT inaweka pingamizi.

Sina chama ila mwaka huu, nataka Maalim Seif asimamie kauli yake ya liwalo na liwe ili watu waheshimiane!
Waambie wenda wazimu haooo
 
Mtu anasema asipotangazwa mshindi safari anakinukisha.

Nashangaa hata Magufuli wanayesema ana roho mbaya anamuacha anaongea pumba, ningekuwa mimi saa hizi angekuwa jela kwa matamshi ya kichochezi.
Aman haij.... Iben mwaka huu muone
 
Mtu anasema asipotangazwa mshindi safari anakinukisha.

Nashangaa hata Magufuli wanayesema ana roho mbaya anamuacha anaongea pumba, ningekuwa mimi saa hizi angekuwa jela kwa matamshi ya kichochezi.
Magufuli mwenyewe pia ni mchochezi kwa kuligawa taifa. Naye anapaswa aende jela.
 
Mbona unajifanya hamnazo, unajifanya huelewi lugha ya kiswahili na kupotosha anachokisema Lissu. Kama huelewi bora kuka kimya kuliko kupotosha.

Unachokifanya ndio uchochezi wenyewe unaojifanya kuupinga.

Lissu amesema akishindwa kwa haki hana neno na mtu lakini sio vinginevyo.

Sasa wewe kwa kuwa nia yako ni kuleta uchochezi umeamua kupotosha kwa kusema Lissu amesema akishindwa ataingiza watu barabarani.

Acha upotoshaji/uchochezi, madhara yake usidhani wewe yatakupitia mbali.

Jitahidi kuwa matured.
hivi unaelewa maana ya matamshi ya uchochezi au unaimba tu!!!!

mfano wewe ukiamua useme "jamani eeeh,mimi nisipolipwa mshahara mwezi huu namuua boss, si jukumu la boss kuhakikisha anakulipa mshahara usimuue, ila ni jukumu lako kieleza kwanini unataka kutoa adhabu ya kifo(kosa la jinai)kwa boss kwa kosa la kutokukulipa mshahara.
 
kama una muda kwanini usiandae charge uipekeleke mahakamani??
Tuliza makalio, charge iko mbioni kuandaliwa. Saivi naendelea tu kumchora jinsi anavozidi kuropoka maneno ya maudhi kwa taifa.
 
Mkuu, muungano wowote ule wa nchi mbili ama zaidi ni wa hiari, na tena hutokea kwa sababu, maslahi na mazingira maalum. Na kupitia kwayo muungano unaweza kuvunjika ama kuendelea.

Tundu Lissu hajakurupuka kwa kuuzungumzia aina ya muungano tuliokuwa nao, huu ndiyo msimamo wake hata wakati ule wa Bunge la Katiba ambalo CCM kwa kiburi na kwa kujali maslahi yake likalihujumu. Suala muhimu ni kufanya "referendum" ili kujiridhisha ya kuwa Wanzabari wanauridhia muungano huu, na pia use ktk mfumo gani.

Muundo wa muungano wa serikali mbili ni hitaji la CCM, kwa hiyo ni lazima watu wawe na mtizamo tofauti na huo. Kwanza wala siyo dhambi ana kukiuka sheria endapo mtu atakuwa na matamanio kama hayo. Tatizo kubwa la watu wamefungia fikra zao ndani ya kasha, kiasi kwamba hawawezi kuona mazuri mengine yaliyopo nje ya kasha.

Uchakavu wa fikra za kimaendeleo wa CCM, imeua kwa kiasi kikubwa uvumbuzi na ugunduzi wa vitu muhimu sana kwa nchi yetu. Hasara hii inaletwa na kufungwa minyororo na itikadi iliyopitwa na wakati, iliyotamalaki na akili za wana CCM waliokuwa wengi kubung'aa ndani ya "socialism hangover"
Sawa kabisa mkuu
 
Tuliza makalio, charge iko mbioni kuandaliwa. Saivi naendelea tu kumchora jinsi anavozidi kuropoka maneno ya maudhi kwa taifa.
haya mimi yangu nayatuliza, wewe endelea kuyatembeza yako, ila hakikisha........
 
Mwaka huu kuna watu wanapata shida sana, kuna wanao tamani kusingekuwa na uchaguzi, na kuna wanao tamani uchaguzi uishe hata leo hii ili waweze kupumua vizuri.
Yaani si kwa kubanwa huku, adi wanashindwa pakutokea matokeo yake wanakuja na kauli ambazo hata wao wenyewe mioyo inawasuta.

Kwa kuwa nafsi zina wasuta wanakataa hata kuulizwa maswali juu kauli na vitendo vyao.
 
Je hatuwezi kuandaa mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa sehemu ya Mkoa wa nchi hii. Kiukweli mimi sio muumini wa kuiondoa Zanzibar, tena nilikuwa naiwazia Burundi na Rwanda(utaona naota)
Hayo ni mawazo mgando. Kizazi hiki watu wanahitaji uhuru wa kujiamlia mambo
 
Usimpangie , mnashindwa kumpangia mwenyekiti wenu wa kijani kibichi , mnapelekeshwa mwendo wa kihutu , mbele geuka , nyuma geuka , hata hamkohoi , halafu unamkurupukia Lissu kumpangia cha kuongea ? Hebu shika adabu yako . Halafu ungetumia muda wako kumpigia kampeni na chama chako labda mngeondokana na aibu ya kujaza watoto wa shule mikutanoni View attachment 1562011View attachment 1562014
Ha ha ha.. hao watoto siyo wapiga kura, sijui kwa nn maccm wanawatesa kwa kuwarundika mikutanoni
 
Back
Top Bottom