Nilishawahi kuleta mada kuwa balozi za tanzania hakuna msaada watakao kupa.Ukipata tatizo pambana wewe mwenyewe.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa.

Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe.

Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao.

Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma ya vituo vya polisi alisikika mwiguru.
FB_IMG_1782561605047.jpg
FB_IMG_1782561600520.jpg
 
Hao jamaa wamezakia tu huko hawako uko kihalali na wengi wanauza ama kusambaza madawa... Unataka ubalozi uwasaidie ao wahuni ili iweje?? Ubalozi unatoa msaada kwa anaeenda mara ya kwanza ukifika kama una jambo linahitaji usaidizi au kibali kimeisha uelewi elewi sio hoa jamaa wa sauzi
 
Hata kama mwizi.Sasa kuna maana gani ya kuwa na balozi.
 
Hao jamaa wamezakia tu huko hawako uko kihalali na wengi wanauza ama kusambaza madawa... Unataka ubalozi uwasaidie ao wahuni ili iweje?? Ubalozi unatoa msaada kwa anaeenda mara ya kwanza ukifika kama una jambo linahitaji usaidizi au kibali kimeisha uelewi elewi sio hoa jamaa wa sauzi
South Kuna watanzania wengi TU wanafanya shughuli halali za kujiingizia kipata. Wote sio wezi na wauza madawa
 
Balozi nyingi za Tanzania zipo kwa ajili nafasi za ajira za watoto wa viongozi na siyo kusaidia watanzania waliopo nchi husika.
 
Back
Top Bottom