Nilishawahi kusema, Yanga SC hamjawahi kujaribiwa

Walidhani wanakutana na mbuni fc[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Si klabu bingwà lakini hiyo ni shilikisho
 
Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Mbona sikumbuki hii. Hebu weka Table ilivyokuwa.
 
Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Bila shaka huelew historia ya mpira, hiyo ilikuwa shirikisho, mlicheza makundi na mkashika mkia

Ye kaongelea klab bingwa
 
Poleni Wanayanga, hakika huko Sudan kuchomoa ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Hii ni michezo ya kimataifa, hatuchezi mpira kama tunacheza na Singida Big Stars...
Yanga ni wapumbaaavu. Na ni wapumbaaavu tena. Mpumbavu ni mtu ambae hajui na hajui kwanini hajui. Pole sana kwa Engineer Rais
 
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon Sports ya Rwanda baada ya mechi ya kwanza kumalizika Kwa sare ya Mojamoja.
Zote hizo kusini mwa jangwa la Sahara tia maji tia maji
 
Poleni Wanayanga, hakika huko Sudan kuchomoa ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Hii ni michezo ya kimataifa, hatuchezi mpira kama tunacheza na Singida Big Stars. Kuna nidhamu zake, tahadhari na hekima...
Mbumbumbu fc katika ubora wake! Anavyo iongelea Yanga, basi unaweza kufikiri labda hiyo timu yake ni bora sana!

Kumbe hata mwezi tu haujapita tangu wapoteze kwa hao Al Hilal, ambao kwa aliyeangalia mpira wa jana, atakubali ya kwamba Yanga siyo timu ya kitoto.
 
Ujue hii michezo sometimes unaweza kujikita kusheherekea shughuli ya mwingine baada ya kufanya vibaya wakati mechi yako ya kesho hujui outcome yake ikoje mwisho wake unakuwa sio mzuri...
Hiyo sio hoja ya mleta uzi. Hoja yake nikwamba yanga haijaiva kimataifa so wajifunze jwa watani zao ssc. Hajasema simba haina mechi ngumu.
 
Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Wewe ndiye shabiki uchwara. Hiyo ilikua Shirikisho sio Champions League.
 
Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Mashindano gani boss[emoji1787]
 
Simba kelele Kibao ngoja tuwaone leo!!
 
Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Kundi la mashindano gano? 2018
 
Wewe si ulidai kuwa haukuuangalia mpira kukuwa siku nzima ulikuwa safarini, sasa hizo evaluation mmezitoa wapi?[emoji16]
 
Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Hiyo ilikuwa CAF confederation ndiko mnastahil wajinga nyie

Champions League Acha waende wenye akili kenge nyie

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Poleni Wanayanga, hakika huko Sudan kuchomoa ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Hii ni michezo ya kimataifa, hatuchezi mpira kama tunacheza na Singida Big Stars. Kuna nidhamu zake, tahadhari na hekima...
Mi ni Simba damu, ila bado naona Kama yanga kwenye marudiano anayo nafasi ya kupita, Ni kocha tu afanye mabadiliko ya kikosi, kingine wamezoea kubebwa na marefa kwenye ligi ya ndani, kimewaharibu yanga, na Hawa wachambuzi maandazi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…