mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Timu yetu leo imeshinda goli 1-1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie hamu yetu ni kuua jitu oktoba 23,hiyo ni faraja kubwa kwetu kuliko chochote.Sisi tunanafasi ya kuja kusahihisha makosa kwa mkapa so hata tukibondwa kesho sio case ila hawa uto lazima tuwaseme
Si klabu bingwà lakini hiyo ni shilikishoAchana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Mbona sikumbuki hii. Hebu weka Table ilivyokuwa.Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Bila shaka huelew historia ya mpira, hiyo ilikuwa shirikisho, mlicheza makundi na mkashika mkiaAchana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Yanga ni wapumbaaavu. Na ni wapumbaaavu tena. Mpumbavu ni mtu ambae hajui na hajui kwanini hajui. Pole sana kwa Engineer RaisPoleni Wanayanga, hakika huko Sudan kuchomoa ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Hii ni michezo ya kimataifa, hatuchezi mpira kama tunacheza na Singida Big Stars...
Zote hizo kusini mwa jangwa la Sahara tia maji tia majiHaitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon Sports ya Rwanda baada ya mechi ya kwanza kumalizika Kwa sare ya Mojamoja.
Mbumbumbu fc katika ubora wake! Anavyo iongelea Yanga, basi unaweza kufikiri labda hiyo timu yake ni bora sana!Poleni Wanayanga, hakika huko Sudan kuchomoa ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Hii ni michezo ya kimataifa, hatuchezi mpira kama tunacheza na Singida Big Stars. Kuna nidhamu zake, tahadhari na hekima...
Hiyo sio hoja ya mleta uzi. Hoja yake nikwamba yanga haijaiva kimataifa so wajifunze jwa watani zao ssc. Hajasema simba haina mechi ngumu.Ujue hii michezo sometimes unaweza kujikita kusheherekea shughuli ya mwingine baada ya kufanya vibaya wakati mechi yako ya kesho hujui outcome yake ikoje mwisho wake unakuwa sio mzuri...
Wewe ndiye shabiki uchwara. Hiyo ilikua Shirikisho sio Champions League.Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Mashindano gani boss[emoji1787]Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Kundi la mashindano gano? 2018Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Wewe si ulidai kuwa haukuuangalia mpira kukuwa siku nzima ulikuwa safarini, sasa hizo evaluation mmezitoa wapi?[emoji16]Mbumbumbu fc katika ubora wake! Anavyo iongelea Yanga, basi unaweza kufikiri labda hiyo timu yake ni bora sana!
Kumbe hata mwezi tu haujapita tangu wapoteze kwa hao Al Hilal, ambao kwa aliyeangalia mpira wa jana, atakubali ya kwamba Yanga siyo timu ya kitoto.
Hiyo ilikuwa CAF confederation ndiko mnastahil wajinga nyieAchana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Mi ni Simba damu, ila bado naona Kama yanga kwenye marudiano anayo nafasi ya kupita, Ni kocha tu afanye mabadiliko ya kikosi, kingine wamezoea kubebwa na marefa kwenye ligi ya ndani, kimewaharibu yanga, na Hawa wachambuzi maandazi piaPoleni Wanayanga, hakika huko Sudan kuchomoa ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Hii ni michezo ya kimataifa, hatuchezi mpira kama tunacheza na Singida Big Stars. Kuna nidhamu zake, tahadhari na hekima...
Labda makundi maalum..Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
Mkuu wahurumie 😂😂Hiyo ilikuwa CAF confederation ndiko mnastahil wajinga nyie
Champions League Acha waende wenye akili kenge nyie
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app