Sasa si mngeshindaMbumbumbu fc katika ubora wake! Anavyo iongelea Yanga, basi unaweza kufikiri labda hiyo timu yake ni bora sana!
Kumbe hata mwezi tu haujapita tangu wapoteze kwa hao Al Hilal, ambao kwa aliyeangalia mpira wa jana, atakubali ya kwamba Yanga siyo timu ya kitoto.
Ahahaha
Wewe ni mpuuzi sana kupindua meza kwani wametufunga?Na zile Goli 9 ziliwatia ujinga. Unatetema kama mwendawazimu.
Bado wanajipa moyo kuwa watapindua meza. Hawapo Serious
Kwa hiyo hata marudio siruhusiwi kuangalia, kwa sababu nilikuwa safarini! Basi sawa.Wewe si ulidai kuwa haukuuangalia mpira kukuwa siku nzima ulikuwa safarini, sasa hizo evaluation mmezitoa wapi?[emoji16]
Mbona kama umepaniki! Unatoka povu kwa Yanga kutoa sare, huku timu yako ikiwa haijulikani itapata matokeo gani huko Angola!Hiyo ilikuwa CAF confederation ndiko mnastahil wajinga nyie
Champions League Acha waende wenye akili kenge nyie
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwa sababu mlimfunga Nyasa Big Bullets kwenye hatua ya awali siyo! Mbona kama ni hivyo hata Yanga nayo ilimfunga Zalan goli nyingi tu! Au bado mnaishi katika ndoto na historia!Hutetemi temi tu kama mgonjwa wa akili. Ni nidhamu sana, mbinu na uzoefu. Inawapasa kuendelea kuiheshimu Simba Sc daima kwenye hizi anga za kimataifa.
Huwa nikisema Simba JF ina mashabiki 2 tu na wengine ni Washangiliaji watu wananizodoa. Ninapokusifu kwa kuujua Mpira huwa sibahatishi Mkuu, you deserve it.Ujue hii michezo sometimes unaweza kujikita kusheherekea shughuli ya mwingine baada ya kufanya vibaya wakati mechi yako ya kesho hujui outcome yake ikoje mwisho wake unakuwa sio mzuri...
Cheki kima mmoja huyuNa zile Goli 9 ziliwatia ujinga. Unatetema kama mwendawazimu.
Bado wanajipa moyo kuwa watapindua meza. Hawapo Serious
Zalan hata angecheza na chama langu pendwa Abajalo angekalishwa nyingi tu. Ni aibu kujisifia kuwafunga wale mbugilambugilaKwa sababu mlimfunga Nyasa Big Bullets kwenye hatua ya awali siyo! Mbona kama ni hivyo hata Yanga nayo ilimfunga Zalan goli nyingi tu! Au bado mnaishi katika ndoto na historia...
Eniwei inaonekana kuna lugha gongana.Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
Wakati Simba wanaenda kujiandaa kwa michezo ya kimataifa huko Misri.. utopolo walienda Morogoro. Walidhani wanashiriki ndondo cup... kutegemea bahasha. Utopolo bado sana
Simba hata tukifungwa Leo tumeshazoea uwanja WA Taifa hawatachomoka kule tunaenda kutafuta Sare au tufungwe Ila tupate goal la ugeniniMbona kama umepaniki! Unatoka povu kwa Yanga kutoa sare, huku timu yako ikiwa haijulikani itapata matokeo gani huko Angola!
Mbona wale Galaxy kutoka Botswana, na wale UD Songo wa Msumbiji, walikuja kuwatolea hapo hapo uwanja wa Taifa! Siku zote kinacho waponza ni maneno yenu mengi nje ya uwanja!Simba hata tukifungwa Leo tumeshazoea uwanja WA Taifa hawatachomoka kule tunaenda kutafuta Sare au tufungwe Ila tupate goal la ugenini
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app