farharu
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 527
- 583
Sasa si mngeshindaMbumbumbu fc katika ubora wake! Anavyo iongelea Yanga, basi unaweza kufikiri labda hiyo timu yake ni bora sana!
Kumbe hata mwezi tu haujapita tangu wapoteze kwa hao Al Hilal, ambao kwa aliyeangalia mpira wa jana, atakubali ya kwamba Yanga siyo timu ya kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app