Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili
Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka
Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani,, Harusi kubwa hivi vilinikimbiza.
👉Hata hivyo sijawahi kufikiria kuchangisha watu ili nifanye sherehe na Sina huo mpango
👉Mwisho, Binti aliniambia nitafute pesa nikizipata nirudi kwao lakini maamuzi niliyoamua nitaishi na mwingine nitakaekutana nae mbele ya safari ya utafutaji wangu