- Thread starter
- #21
Ni kweli sina hela kivile Ila je? Wazazi wangu walifunga ndoa ambayo haikuizidi wahudhuriaji kumi hadi kifo kiliwatenganishaKundi la kwanza
Kuna watu wanahonga magari nyumba na pesa. Hawajali wala hawajawahi kuwaza....
Kundi la pili
Sihitaji kuwazungumzia. Mleta mada upo kwenye kundi hili
Tafuta maisha mleta mada million 3 watu wanatumia bar
Mawazo yangu tu
Ila hawa wanaogharamika hawadumu sana