Kila week nabadili mwanamke mkuu haya Maisha hadi liniPole mzee. Usioe
Unatafuta nn kwenye ndoa?Kila week nabadili mwanamke mkuu haya Maisha hadi lini
Waachie wakamtangaze sokoni Sinza,Tabata,na kwingineko liliko soko zuri la kuweza kumnunua.Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili
Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka
Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani,, Harusi kubwa hivi vilinikimbiza.
👉Hata hivyo sijawahi kufikiria kuchangisha watu ili nifanye sherehe na Sina huo mpango
👉Mwisho, Binti aliniambia nitafute pesa nikizipata nirudi kwao lakini maamuzi niliyoamua nitaishi na mwingine nitakaekutana nae mbele ya safari ya utafutaji wangu
Unatafuta nn kwenye ndoa?
Aliniambia mimi nihamishie biashara ya dsm nimfate nikamwambia hapana siwezi! Akasema toka azaliwe hajawai ish tofauti na daslam na hawezi toka daslam mikoani atakuja kutembea tuSio kosa lako, wazazi wala utamaduni. Ni kosa la huyo manzi. Wanawake wanatishia kujiua kisa mchumba kakataliwa ukweni. Wengine wanatoroka. Mwanamke akikupenda utajua
Hili neno mwanawane. Huyo mwanamke na wazazi lao moja kumchuna jamaaSio kosa lako, wazazi wala utamaduni. Ni kosa la huyo manzi. Wanawake wanatishia kujiua kisa mchumba kakataliwa ukweni. Wengine wanatoroka. Mwanamke akikupenda utajua