Nilishtuka nilipomwona mhudumu wa mortuary akihifadhi embe kwenye jokofu lenye maiti Hospitali ya Temeke

Pale Mt. Meru Mimi niliona ndizi ila nafikiri jokofu halikuwa na Mteja/Maiti
 
Mmhh ila jaman Kuna watu wana ujasiriii
 
Aiseeeee!!
 
Mimi tuu nmesoma nikaogopa[emoji31][emoji31][emoji31]

Pole weee
 
[emoji33][emoji33][emoji33]
 
Amezoea kazi yake na ameona kawaida isitoshe kwenye jokofu papo salama akitoa analiosha tu analikamua. Tatizo hapa ni zile mila zetu za ku-link wafu na vitu vya mauzauza na ndio maana wengi hapa wanaona ngumu kumeza wakati maiti ni binadamu kama binadamu mwingine tatizo tu amepoteza uhai na hawezi rudi tena
 
Yale mazingira humfanya mtu, robo psychiatric na nyingine mtu sawa.

Usichague kazi tuchape kazi jmn, ila ile mm nakimbia
 
One day hapo temeke tunakwenda chukua maiti,tulimuona anatoa Pepsi kwenye jokofu saa Saba mchana anakunywa,itakua embe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hivi nikinunua wembe mpya ikatumia kukata embe halafu nikakupa kipande, je utakula?
 
Hujui pia Kuna watu wanakushangaa unavyo itumia jamiforums na kukuona wa ajabu ajabu sana
 
hao majambazi ulikuwa unawajua?
 
aisee..kwahio alikua anapiga kavu si bure na kuwakojolea humo..aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazoea mule kama ndani kwake tu, ndiyo maana akili zao wengi hubadilika hata kama ana akili vipi kuna kitu huwa kinayumba kichwani [emoji23]
 
Kwani ww kinachokutia hofu ni nini? Mtu akifa si ni kama kalala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…