Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mmh eti Kalala, mtu aliyelala anatoa harufu?Kwani ww kinachokutia hofu ni nini? Mtu akifa si ni kama kalala tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh eti Kalala, mtu aliyelala anatoa harufu?Kwani ww kinachokutia hofu ni nini? Mtu akifa si ni kama kalala tu.
😀😀Mmh eti Kalala, mtu aliyelala anatoa harufu?
shinyanga nilishuhudia miaka ya nyuma akiweka mhudumu akiweka nyama aliyonunua buchani bila hofu
ChaiHiyo cha mtoto. Mimi nipo Hosp flan hapa Dar siku aliletwa maiti ya bibi kizee wa kihindi. Tukauliza nini chanzo cha kifo chake maana alikuwa ametoa macho kama ngumi. wakasema alikwamwa na Paja la kuku baadaye likashuka lakini ikawa late...
Wadau tulikuwa na njaa tukicheck mfukoni hatuna kitu...basi tulimkamua yule bibi kizee lile paja likatoka njia ya haja kubwa. Tukaosha tukagawana tukala.
Huyu nilisikia akipita kwenye wodi akisema hajapata wa kupiga nae story haipiti nusu saa hivi bado yupo hai?Nakumbuka kulikuwa na muhudumu wa mortuary Mawenzi Hospital, Moshi. Alikuwa albino. Aaa! Yule alikuwa kiboko aisee!! Huyo wako ni cha mtoto.
Ilikuwaje?Huyu nilisikia akipita kwenye wodi akisema hajapata wa kupiga nae story haipiti nusu saa hivi bado yupo hai?
Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
Ni mara ya pili unazungumzia hili jambo sasa nayaamini maneno yako.Acha kuingilia kazi za watu. Je, nikikwambia kuwa nilikwisha mfanyia operesheni mwanaume ambaye alikuwa anatumia tango kujipa raha kwa njia ya haja kubwa kwa bahati mbaya likatumbukia ndani. Baada ya kulitoa manesi walilimenya tukala hapo hapo theatre/chumba cha upasuaji. Of course lilisafishwa kwa maji kwanza kabla ya kumenywa. Lilikuwa kubwa kiasi kwamba sikula chakula cha jioni siku hiyo. Kazi ilikuwa kuamka kwenda msalani kukojoa.
Ni mara ya pili unazungumzia hili jambo sasa nayaamini maneno yako.