Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo siyo nyota ni sayari ya VenusHabari zenu Wanajamiiforums.
Jana katika anga nilishuhudia Mwezi pamoja na nyota zikiwa karibu zaidi, Je kinaashiria nini?
Location MARA somewhere.
Mwenye elimu ya kitu kama hiki atufafanulie
View attachment 3191974
Ivyo vitu huko angani kaviweka nani Kiranga ? ni wanasayansi ndio waliviweka kwa mpangilio mzuri ivyo,auUnashindwa kutofautisha nyota na sayari
Habari zenu Wanajamiiforums.
Jana katika anga nilishuhudia Mwezi pamoja na nyota zikiwa karibu zaidi, Je kinaashiria nini?
Location MARA somewhere.
Mwenye elimu ya kitu kama hiki atufafanulie.
View attachment 3191974
Zakuambiwa changanya na za kwakoNiliona hivyo jana, kama uliona pia maana yake ubilionea huu hapa mkuu ushatajirika kula bia na akiba uliyonayo pesa zinakuja.
Tushauaga umasikini, rasmi natafuta chawa.Zakuambiwa changanya na za kwako
SawaPlanets alignment...sayari sita zipo kwenye mfuatano sawa ndani ya mwez huu wa january