Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #21
Okay.Hio ni sayari iitwayo venus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay.Hio ni sayari iitwayo venus
Sawa Mkuu.Soma masuala ya UNAJIMU utaelewa
LabdaLocation ya kanda ya kati nyota ilikuwa juu kidogo pembeni kulia kiasi cha kufanya kama ile nyota na mwezi ya msikitini. Na jana ilikuwa ijumaa siku ya kuabudu waislam. Hiyo mwezi na nyota kukaribiana hivyo haikuwashangaza waislam wakati ni alama yao
Asante kwa elimu.Mwezi huu January mwanzoni ukiwa Tanzania unaweza ukaona sayari 3 ambazo no Venus hii itaonekana kwa wepesi karibu na mwezi mchanga, halafu utaweza pia kuziona sayari za Mars na Jupiter kwa binoculars...
Ilikuwa ang'avu na kubwa kidogo zaidi ya nyota za kawaida.Unashindwa kutofautisha nyota na sayari
Ni cha ajabu kwangu.Kawaida iyo si sayari ya Venus na mwezi ukiwa umepigwa na jua upande mmoja!
Nini Cha ajabu
Sio Kila kitu kidoti kinachong'aa ni nyotaNi cha ajabu kwangu.
Maana ndo mara ya kwanza kushuhudia kitu kama hicho.
Acha mak*** wapigweFicha tapeli Mwamposa asione atawaambia waumini wake ni mwisho wa dunia kwahiyo wa submit mali zao kwake
Nyota na mwezi sio alama ya uislamu wala waislamu.Location ya kanda ya kati nyota ilikuwa juu kidogo pembeni kulia kiasi cha kufanya kama ile nyota na mwezi ya msikitini. Na jana ilikuwa ijumaa siku ya kuabudu waislam. Hiyo mwezi na nyota kukaribiana hivyo haikuwashangaza waislam wakati ni alama yao
Umelewa?Chombo cha nasa kimegonga jua. Jua litaiangukia dunia itakua ni maangamizi matupu. Dunia itabaki bila kiumbe hai na itageuka kuwa plastic na majivu. Baadae vitaibuka viumbe vya ajabu ajabu kutoka kwenye mabaki ya wanyama na binadamu.
Mwezi huu January mwanzoni ukiwa Tanzania unaweza ukaona sayari 3 ambazo no Venus hii itaonekana kwa wepesi karibu na mwezi mchanga, halafu utaweza pia kuziona sayari za
Hayo ni macho yetu tu wanadamu. Hiyo Sayari ipo mbali sana na mwezi. Kumbuka mwezi ni wa dunia hii tu kila sayari ina mwezi wake.Ile nyota iliyokuwa karibu na mwezi Kwa siku ya Jana(Zilipishana kama cm2 hivi na mwezi).
Leo nimeuona ukiwa umeachana na mwezi kwa umbali wa kama mita 4 , Ingawa zipo kwenye mstari mmoja.
Jaribuni na nyie kuchunguza.
Hii hubadilikabadilika siyo January tu na wala siyo Tanzania tu ni worldwide, hiyo Venus imeanza kuonekana upande wa Magharibi baada ya jua kuzama tangu mwaka jana 2024 October, na kama ukiwa location nzuri hata Mecury ungeweza kuiona mida hiyohiyo na itafika kipindi sayari hizo mbili zitaonekana upande wa Mashariki alfajiri kabla ya jua kuchomoza, na hata wakati mwingine kutegemeana na hali ya hewa Venus huonekana hata kabla na baada ya jua kuzama au kuchomoza iwapo utafuatilia location yake kwa makini.Mwezi huu January mwanzoni ukiwa Tanzania unaweza ukaona sayari 3 ambazo no Venus hii itaonekana kwa wepesi karibu na mwezi mchanga,
Hizi sayari zinaonekana hata bila binoculars, kwa mfano muda huu toka nje katazame upande wa Mashariki Kaskazini utaiona Jupiter inang'aa sana, kuna majira siku si nyingi zijazo utaweza kuona lineup ya sayari nyingi zaidi ikiwemo Saturn na zile zingine mbili za mwishoni kule japo hizo huonekana kwa shida sanahalafu utaweza pia kuziona sayari za Mars na Jupiter kwa binoculars...