Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
MmmmhAnachonga sana juu yetu... achana naye.
Source: Sister P.
Umeanza utunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmhAnachonga sana juu yetu... achana naye.
Source: Sister P.
You can say that again...Usijali, we sema mara nyingi uwezavyo!!! Hilo neno ndo uhai wangu
Ukitaka nikutungie ushairi usisite kunambiaMmmmh
Umeanza utunzi
Endelea kujiteteaDada nilikua nakutafuta kuna mda nimeona umeniquote kurudi kuangalia umenipotea nakuta notification nyingi
HeheheYou can say that again...
Sawa bwanaUkitaka nikutungie ushairi usisite kunambia
hhahhahhaMmmmh
Umeanza utunzi
Usijali, we sema mara nyingi uwezavyo!!! Hilo neno ndo uhai wangu
hahahhah najua dadaEndelea kujitetea
Hivi unajua ninavyokupenda lakini
mwandikie uzi kama unawezaUkitaka nikutungie ushairi usisite kunambia
Kuhusu nini??mwandikie uzi kama unaweza
kuwa unampenda yy tu na wkt umewaapanga unamdanganya tu dada anguKuhusu nini??
Umeona sasa?? Kumbe nawe umeanza kuwa mbaya wangu...kuwa unampenda yy tu na wkt umewaapanga unamdanganya tu dada angu
sina ubaya wowote na ww Babu ila punguza basUmeona sasa?? Kumbe nawe umeanza kuwa mbaya wangu...
Ukiendelea na tabia hii, ntafanya maamuzi magumu very soon...mm Babu nakupenda unavyomjali ndg yangu ila bas punguza tu kidogo
maamuzi magumu yapi unataka kumuacha sakayo au tutaandamanaUkiendelea na tabia hii, ntafanya maamuzi magumu very soon...
Sakayo haachwi, ila maamuzi magumu yatakuwa juu yako. Shauri zako.maamuzi magumu yapi unataka kumuacha sakayo au tutaandamana
Khaaaa mm maamuzi magumu yapi unataka kutugombanisha auSakayo haachwi, ila maamuzi magumu yatakuwa juu yako. Shauri zako.
Hiyo ni siri yangu... we endelea tu uoneKhaaaa mm maamuzi magumu yapi unataka kutugombanisha au