Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Nilisikia kwamba eti ukila kuku wa kisasa na wewe unakuwa wa kisasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu nakuona nakuona mpaka kwa wajukuu umo tu.Hiyo ni siri yangu... we endelea tu uone
Babu unachokipanga hakitafanikiwaHiyo ni siri yangu... we endelea tu uone
Kumbe wajua, mbona wataka niangushahahahhah najua dada
Anapanga nini mamaBabu unachokipanga hakitafanikiwa
Mbona vitisho tena baeHiyo ni siri yangu... we endelea tu uone
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe! Usituongezee ratiba mwisho wa mwezi, tuje kukutembelea Keko.
Anataka kuvuruga mapenzi yetu honey...Mbona vitisho tena bae
Ewaaaaa...... hebu tulia kwanza.Babu nakuona nakuona mpaka kwa wajukuu umo tu.
[emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
UsijaliAnataka kuvuruga mapenzi yetu honey...
Bila ya wewe mi ntaishije kwa mfano??
Ewaaaaaaa.... hapo sasa napata faraja moyoni...Usijali
Wakututenganisha ni Allah
Dahhh embe limemdondokea mwenye njaa.Usijali
Wakututenganisha ni Allah
HeheheKhaaaa mm maamuzi magumu yapi unataka kutugombanisha au
Hata ukiandamana hairasaidia pacha, tunasema unamwacha aendemaamuzi magumu yapi unataka kumuacha sakayo au tutaandamana
Apunguze tena au aache kabisaa hiyo michepuko pachamm Babu nakupenda unavyomjali ndg yangu ila bas punguza tu kidogo
Mambo ya uzi ni ya kitoto sana pacha angu, Siku tukilikoroga Sina moyo wa kubeba majonzi miemwandikie uzi kama unaweza