Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HeheheWewe utamuua sio kwa hayo mahaba... mzee wa watu akigeuka huku busu akielekea kule anaitwa kwa sauti nyororo.
Mungu akupe nini swahiba! !
Atupe miaka mia nane tukule raha tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheWewe utamuua sio kwa hayo mahaba... mzee wa watu akigeuka huku busu akielekea kule anaitwa kwa sauti nyororo.
Mungu akupe nini swahiba! !
Babu naona mganga uliyempata yuko poa sana.Roho yauma nini tena jamani, pole
Babu kachoka wapi, ana nguvu ka simba
Kipaji kanipa Mungu...Sema nyota yako Kali sana aisee jamaa yangu.
Hata kama kipaji lazima kutakuwa na kitu kingine mkuu.Kipaji kanipa Mungu...
Umenikumbusha enzi hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilisikia kwamba eti ukisoma unasinzia
Nilisikia kwamba eti ukiweka kitunguu kwapani, mwalimu akikuchapa unaweza zimia ili umtishe!
sitakuangusha dadaKumbe wajua, mbona wataka niangusha
AamenKipaji kanipa Mungu...
najua dada ndio nilikua namuuliza sijui anataka kutugombanishaAnapanga nini mama
mm simuelewi ujue babu yakoMbona vitisho tena bae
mfyuuu naanzaje kuvurugaAnataka kuvuruga mapenzi yetu honey...
Bila ya wewe mi ntaishije kwa mfano??
Hakuna kingine zaidi ya kujua shughuli ile muhimuHata kama kipaji lazima kutakuwa na kitu kingine mkuu.
Honey unatoa siri za ndani ujue...Hakuna kingine zaidi ya kujua shughuli ile muhimu
Mmh na ww unamwamini kweli mapenzi yana nguvu [emoji134]Usijali
Wakututenganisha ni Allah
Mambo Shunie mtoto mzuri?mm simuelewi ujue babu yako