Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Punguza taarabuDahhh embe limemdondokea mwenye njaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza taarabuDahhh embe limemdondokea mwenye njaa.
Ukiwa na furaha ndo shibe yangu baeEwaaaaaaa.... hapo sasa napata faraja moyoni...
You can say that again, darling.Ukiwa na furaha ndo shibe yangu bae
Swahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako.You can say that again, darling.
Niliskia kwamba eti ww unaogopa kushikwa maziwa ili yasilegeeNilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka!
Taarabu wapi wewe?Punguza taarabu
Si unajua tena nshaanguka mapenzini??Swahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako.
Amebebika wapi tena, Hebu nielekezemo shemSwahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako.
Love you much [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji182]You can say that again, darling.
Ama kweli penzi mwana nyegezi. Haya swahiba kila la kheriSi unajua tena nshaanguka mapenzini??
Wewe utamuua sio kwa hayo mahaba... mzee wa watu akigeuka huku busu akielekea kule anaitwa kwa sauti nyororo.Amebebika wapi tena, Hebu nielekezemo shem
Asanta swahiba... usisahau dua zako. Nsijevunjwa moyo na bebi wanguAma kweli penzi mwana nyegezi. Haya swahiba kila la kheri
Roho yauma nini tena jamani, poleTaarabu wapi wewe?
Roho inaniuma sana maana nakuelewa sana
Ila siyo ishu sana maana babu ashachoka huyo.
Sema nyota yako Kali sana aisee jamaa yangu.Si unajua tena nshaanguka mapenzini??
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Asnata swahiba... usisahau dua zako. Nsijevunjwa moyo na bebi wangu
Nimeunga mkonyo threadKumsingizia nini?