Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
kuacha atawezaApunguze tena au aache kabisaa hiyo michepuko pacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuacha atawezaApunguze tena au aache kabisaa hiyo michepuko pacha
hahaha kweli lknMambo ya uzi ni ya kitoto sana pacha angu, Siku tukilikoroga Sina moyo wa kubeba majonzi mie
teh tehSwahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako.
hahahhahhWewe utamuua sio kwa hayo mahaba... mzee wa watu akigeuka huku busu akielekea kule anaitwa kwa sauti nyororo.
Mungu akupe nini swahiba! !
weeeh nina mume mm tena yupo humu kwenye uziBabu naona mganga uliyempata yuko poa sana.
Hebu nielekeze nikasafishe nyota yangu nami nimbebe mtoto mzuri SHUNIE!
Koh koh koh... haujamboteh teh
hahahhahh
Usiwe unagombana na shemeji yako.najua dada ndio nilikua namuuliza sijui anataka kutugombanisha
poa mamboMambo Shunie mtoto mzuri?
hahhahahhha umeanza uchizi wako love u big sakayo wanguNakupenda Shunie
Ujue mie wa kike
Usiseme babu bhana, halafu nyie mbona hampendani lakinimm simuelewi ujue babu yako
sijambo mm unayaona mahabaKoh koh koh... haujambo
yy ndio hanipendi sio mmUsiseme babu bhana, halafu nyie mbona hampendani lakini
Nimeyaona natamanije! !sijambo mm unayaona mahaba
Kwa nini hampendani lakini mdogo wangu, Ujue mnanipa wakati mgumu mie. Kila mkikutana mnapambana tuumfyuuu naanzaje kuvuruga
Nakupenda, amini hiloMmh na ww unamwamini kweli mapenzi yana nguvu [emoji134]
Daahkuacha ataweza
Umeona eeehhahaha kweli lkn
Hebu Mwambiee na Jina lake kabisaa ili akuheshimuweeeh nina mume mm tena yupo humu kwenye uzi