Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ahsantehahhahahhha umeanza uchizi wako love u big sakayo wangu
Maana hukawii kuniambia nina mume humu.
Mume wa Shunie popote ulipo mie namzimia mkeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsantehahhahahhha umeanza uchizi wako love u big sakayo wangu
Kwa nini sasayy ndio hanipendi sio mm
Jibu hayo maswali yoteNimejibu ombi lako mkuu!
Wanapeana pmNimeyaona natamanije! !
Sijawahi kuona unapewa haya kulikoni
Ya hadharani ndiyo matamu bhana ili kufichua mapingamizi. Na aendelee kufichwa fichwa huko pm tu atachezewa ataachwa.Wanapeana pm
mbaf thanaNilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini
Manga upoNilisikia kwamba et wewe ndo utajibu hii miswali yute apa
Duuuuu hii kaliNilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini
Nilisikie et maziwa hata yakidondoka hayafiki chiniNilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka!
Yani mmenichanganya nilivo waona nyote nikajua uzi wetu dah hayeni bhanaManga upo
Missing you mnoo
he he napewaga na bae wangu eb niache mmNimeyaona natamanije! !
Sijawahi kuona unapewa haya kulikoni
sio hivyo dada yy ndio hanipendi anahisi namwalibia kwako kumbe ata siku moja sijawahi mm kuongea kitu kibaya kuhusu yyKwa nini hampendani lakini mdogo wangu, Ujue mnanipa wakati mgumu mie. Kila mkikutana mnapambana tuu
ngoja nijipange ili usiniite kapuku bureJaribu!
hiyo mpaka sasa hivi yani ukishika tu biblia usingizi huooooo unajisogeza .Umenikumbusha enzi hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka upate usingizi unachukua biblia na kuanza kusoma. Dakika mbili nyingi ushaanza kusinzia.
Sijui tulikua na pepo gani!!! [emoji3][emoji3]
Naamini mmNakupenda, amini hilo
nimeona dadaUmeona eeeh
aendelee nimwiteHebu Mwambiee na Jina lake kabisaa ili akuheshimu
hahahhahah chizi wwAhsante
Maana hukawii kuniambia nina mume humu.
Mume wa Shunie popote ulipo mie namzimia mkeo
Duuhhh basi tatizo siyo mimi bali ni nyotaweeeh nina mume mm tena yupo humu kwenye uzi