Nilisikia kwamba eti...

Nilisikia kwamba eti...

Kwa nini hampendani lakini mdogo wangu, Ujue mnanipa wakati mgumu mie. Kila mkikutana mnapambana tuu
sio hivyo dada yy ndio hanipendi anahisi namwalibia kwako kumbe ata siku moja sijawahi mm kuongea kitu kibaya kuhusu yy
 
ngoja nijipange ili usiniite kapuku bure
Umenikumbusha enzi hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka upate usingizi unachukua biblia na kuanza kusoma. Dakika mbili nyingi ushaanza kusinzia.
Sijui tulikua na pepo gani!!! [emoji3][emoji3]
hiyo mpaka sasa hivi yani ukishika tu biblia usingizi huooooo unajisogeza .
 
Back
Top Bottom