- Thread starter
- #21
Mimi ni mwanamke mwenye "UKe" makini sio mwanamme wa Dar ujueWale wale vidume wa Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwanamke mwenye "UKe" makini sio mwanamme wa Dar ujueWale wale vidume wa Dar
Nyoka wa pangoni! hahahaha wa kwenye bokitha huyo "ni mzuri kwa matumizi ya binadamu" hahahahahnyoka wa pangoni au kwenye boksa?
Ahsante kw aushauri Ms molAlichosema aggyjay ndio majibu sahihi... Lala na pakiti ya chumvi kitandani akija fungua mmwagie atakufa SAA hiyohiyo
Ahsante kwa ushauri, ila hakuna vichaka but kuna maua mengi yawezekana ikawa ni sababu. Ahsante nitazingatia ushauri wakoNaona kama unataka kuingiza imani zetu kwny hili...kama nje kuna unyevu basi nyoka lazima atafute sehem yenye joto
Muhimu ni kuondoa vichaka nje ya nyumba yako
inawezekana sauti yako ndiyo chanzo....Nyoka wa pangoni! hahahaha wa kwenye bokitha huyo "ni mzuri kwa matumizi ya binadamu" hahahahah
hahahahahh, hariiiiikaaaaa una KILINGANYA a.k.a UCHOCHEZI hahahahahahaahahahhaHaya, wahuja chwi? Kama ni hivyo, tulia tu. Haji mwingine ila huyo mwenye hiyo nyumba mkono wa kulia unapotoka home, ukimwona msalimie kwa sauti kuubwa kila siku asubuhi.
hahahahha,mmmmmmh! du!inawezekana sauti yako ndiyo chanzo....
[emoji23][emoji23][emoji23] DaaahHeri ya mwezi mpya wa Novemba, 2017 wanajf.
Jana muda wa saa mbili usiku nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!
Nyoka wa kimo cha kati, mweusi.
Nimeshangaa amepitia wapi na hali milango imefungwa, amewezaje kupita kwenye vigae na hali vigae vinateleza.
Niliogopa na hata kuchanganyikiwa!
Mungu mkubwa, ninaishi vizuri na majirani zangu waliweza kunisaidia kumuua!!!
Nimelala nastuka nastuka namuona kama vile ananipandia kitandani.
Naomba mnisaidie ushauri na kinga ya kuzuia huyo "ndudu" asiingie tena ndani na hali sioni sehemu ya kumuwezesha kupenya hadi ndani.
sio "nyoookaaaa" ni nyoka kabisa kabisa hahahahahahahhahHuyo nyoka alivyokuingia ulijisikiaje? Mbona mlango wenyewe hukuufunga yaani sitaki nataka, nyoka mzuri mweusi saizi ya kati
sijui kwann naimajini kikubwa kubwa....eti hakuna vichakaAhsante kwa ushauri, ila hakuna vichaka but kuna maua mengi yawezekana ikawa ni sababu. Ahsante nitazingatia ushauri wako
haahaaa walimwengu na tafsida zenu.Huyo nyoka alivyokuingia ulijisikiaje? Mbona mlango wenyewe hukuufunga yaani sitaki nataka, nyoka mzuri mweusi saizi ya kati
aisee kumbe! mie sikujua kuwa wanapita hapo!!![emoji23][emoji23][emoji23] Daaah
😛😛😛😀😀😀haahaaa walimwengu na tafsida zenu.
mna manenoo...khaa[emoji38] [emoji38]
Ni kweli hakuna vichakasijui kwann naimajini kikubwa kubwa....eti hakuna vichaka
Kuna mambo mawili ya kufanya nyoka anapoingia ndani.Sasa ningefanyaje mie jamani! nashukuru majirani walisaidia kumuua
basi kama hivyo.umefanya vema kumwaga maji ya baraka.aggyjay chini hakuna upenyo! ila mie kwa imani yangu ya kanisa katoliki nilichofanya nilinyunyizia maji ya Baraka nyumba nzima