Nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!

Naona kama unataka kuingiza imani zetu kwny hili...kama nje kuna unyevu basi nyoka lazima atafute sehem yenye joto


Muhimu ni kuondoa vichaka nje ya nyumba yako
Ahsante kwa ushauri, ila hakuna vichaka but kuna maua mengi yawezekana ikawa ni sababu. Ahsante nitazingatia ushauri wako
 
Haya, wahuja chwi? Kama ni hivyo, tulia tu. Haji mwingine ila huyo mwenye hiyo nyumba mkono wa kulia unapotoka home, ukimwona msalimie kwa sauti kuubwa kila siku asubuhi.
hahahahahh, hariiiiikaaaaa una KILINGANYA a.k.a UCHOCHEZI hahahahahahaahahahha
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Daaah
 
Ahsante kwa ushauri, ila hakuna vichaka but kuna maua mengi yawezekana ikawa ni sababu. Ahsante nitazingatia ushauri wako
sijui kwann naimajini kikubwa kubwa....eti hakuna vichaka
 
aggyjay chini hakuna upenyo! ila mie kwa imani yangu ya kanisa katoliki nilichofanya nilinyunyizia maji ya Baraka nyumba nzima
basi kama hivyo.umefanya vema kumwaga maji ya baraka.

kikwetukwetu ukiona nyoka mweusi ujue ni ishara ya msiba au balaa .
ila usiyaamin na hayatakutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…