balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Unakaa Dar?Heri ya mwezi mpya wa Novemba, 2017 wanajf.
Jana muda wa saa mbili usiku nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!
Nyoka wa kimo cha kati, mweusi.
Nimeshangaa amepitia wapi na hali milango imefungwa, amewezaje kupita kwenye vigae na hali vigae vinateleza.
Niliogopa na hata kuchanganyikiwa!
Mungu mkubwa, ninaishi vizuri na majirani zangu waliweza kunisaidia kumuua!!!
Nimelala nastuka nastuka namuona kama vile ananipandia kitandani.
Naomba mnisaidie ushauri na kinga ya kuzuia huyo "ndudu" asiingie tena ndani na hali sioni sehemu ya kumuwezesha kupenya hadi ndani.
Mie ni mwoga sana, yaani kukosa majirani nadhani ningehama kabisa nikalale hotelini hahahahahahahhahhKuna mambo mawili ya kufanya nyoka anapoingia ndani.
1. Muue
2. Muue haraka sana.
Kama ukishindwa yote hayo basi hakikisha unamkata kichwa.
nyoka wa mie hapendagi Vic haka....Ni kweli hakuna vichaka
Mwanamke wa Mwanza/UpareniUnakaa Dar?
mmmmh! sasa itakuwa kama vile ameingia "nyumba ya mtoto mchanga" hahahahahahahahahanyoka wa mie hapendagi Vic haka....
hahahahahh, hariiiiikaaaaa una KILINGANYA a.k.a UCHOCHEZI hahahahahahaahahahha
SawaMwanamke wa Mwanza/Upareni
Du! Mungu apishie mbalibasi kama hivyo.umefanya vema kumwaga maji ya baraka.
kikwetukwetu ukiona nyoka mweusi ujue ni ishara ya msiba au balaa .
ila usiyaamin na hayatakutokea.
hahahahahahahahHaiyee! Icho thi kilinganya, bali ndio hivyo
unajua vichaka vinaniumizaga mwenye nyoka,bora ulivyosema una maua....mmmmh! sasa itakuwa kama vile ameingia "nyumba ya mtoto mchanga" hahahahahahahahaha
Sawa sasa je pesa??Jamani lossoJr si uweke tu hapa ili isaidie "umma wa jf" π
hahahahahahahahahah, kwikwikwikwikwikwikwi, tehe the tehe teheunajua vichaka vinaniumizaga mwenye nyoka,bora ulivyosema una maua....
Sasa si ndio useme hapa kabisa na bei yako, biashara ni matangazo lossoJRSawa sasa je pesa??
Sasa mbona umecheka hivyo exburnny? mwenzio nilikosa amani kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] Daaah
ucheke hukuhuku,ukicheka kwa sauti utamtoa tena nyoka pangonihahahahahahahahahah, kwikwikwikwikwikwikwi, tehe the tehe tehe
πππππππππucheke hukuhuku,ukicheka kwa sauti utamtoa tena nyoka pangoni
Aisee! kumbe nyau anaweza kumuua nyoka sikuwa najua hilo! ahsante kwa ushauri wako mzuriFuga nyau mkuu.
Huwa wanasaidia sana kuua nyoka na wadudu wengine wasumbufu km panya
Kwann huwa humuogopi asilanii..hahahahah, ni nyoka kabisa kabisa sio yule "nyoka" mwingine, yule huwa simuogopi asilani! hahahahaha
pia inaonesha hupendi nyoka weusi kimo cha kati.πππππππππ