Anafaa matumizi sahihi ya mwanadamu wa kike, hahahahaKwann huwa humuogopi asilanii..
aahahhha, du! yaani hapa unanifanya nacheka kwa sautipia inaonesha hupendi nyoka weusi kimo cha kati.
ngoja niende jukwaa la Siasa,...aahahhha, du! yaani hapa unanifanya nacheka kwa sauti
hahaha, ngoja mie niende kule MMU nadhani shost yangu Miss Natafuta atakuwa ametupia "siledi" kulengoja niende jukwaa la Siasa,...
Nyoka wangu ataka akungate nawwAnafaa matumizi sahihi ya mwanadamu wa kike, hahahaha
ipo ya papai kuliwa na kunguruhahaha, ngoja mie niende kule MMU nadhani shost yangu Miss Natafuta atakuwa ametupia "siledi" kule
Hana sumu? ni saizi ipi kama niliyemuua au ni mdogo zaidi ya hapo? hahahahahNyoka wangu ataka akungate naww
heee! ngoja niifuatilie nioneipo ya papai kuliwa na kunguru
itakuwa KOBOKOHana sumu? ni saizi ipi kama niliyemuua au ni mdogo zaidi ya hapo? hahahahah
hahahahahahahahahhaah, vajameeeniiiii!itakuwa KOBOKO
Saizi ya kati unene saizi ya betrii la tiger..Hana sumu? ni saizi ipi kama niliyemuua au ni mdogo zaidi ya hapo? hahahahah
hahahahahhaSaizi ya kati unene saizi ya betrii la tiger..
Sumu anayo inaweza kukupelekea tumbo likavimba
Mimi ni mwanamke mwenye "UKe" makini sio mwanamme wa Dar ujue
Mbona unacheka ni kadogoo eehhahahahahha
πππππππππ sawa majoto na mimi nimekuelewa"Uke" makini unaogopa nyoka!!! ha ha haaaa haya nimekuelewa
shost mie hata sijui aina na tabia za nyoka, ila alikuwa mweusi ukubwa wake na upana wake kama saizi ya kidole cha mtu mzima mnene mwenye afyani yule mweusi mdogo mpole?
hahaha, JF raha sanaMbona unacheka ni kadogoo eeh
hao hawanaga shida wapo kibao majumbani mwa watushost mie hata sijui aina na tabia za nyoka, ila alikuwa mweusi ukubwa wake na upana wake kama saizi ya kidole cha mtu mzima mnene mwenye afya
Na hua ni raha ukipata nyoka wa kukugonga muda wowotee...hahaha, JF raha sana