Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,771
Yes kuhusu konokono but kuhusu nyoka am not sure maana sijawahi jaribuhiviii eeee!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kuhusu konokono but kuhusu nyoka am not sure maana sijawahi jaribuhiviii eeee!!!!!
mmmmh! inatishaYes kuhusu konokono but kuhusu nyoka am not sure maana sijawahi jaribu
Pole sana mkuu! Naskia kuna baadhi ya binadamu wanawatetea hawa wadudu kibaya wanawafuga kabisa sijui wana maana gani..!!!!Heri ya mwezi mpya wa Novemba, 2017 wanajf.
Jana muda wa saa mbili usiku nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!
Nyoka wa kimo cha kati, mweusi.
Nimeshangaa amepitia wapi na hali milango imefungwa, amewezaje kupita kwenye vigae na hali vigae vinateleza.
Niliogopa na hata kuchanganyikiwa!
Mungu mkubwa, ninaishi vizuri na majirani zangu waliweza kunisaidia kumuua!!!
Nimelala nastuka nastuka namuona kama vile ananipandia kitandani.
Naomba mnisaidie ushauri na kinga ya kuzuia huyo "ndudu" asiingie tena ndani na hali sioni sehemu ya kumuwezesha kupenya hadi ndani.
heeee!!!!!CHIRIKA MTABIRI kumbe nawe una kwako[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23]
Ni kweli wengine wanawafuga tena watafutia chakula, hapa Mwanza kuna sehemu ina Bujora kuna makumbusho watalii wa nje na ndani wanatembelea humo, huwa wanafuga chatu, wanawalisha kuku na sungura, tena hao chatu hawali mzoga, inabidi kuku au sungura anaachiwa akianza kukimbia wao ndio wanamfukuza hadi wanamkamataPole sana mkuu! Naskia kuna baadhi ya binadamu wanawatetea hawa wadudu kibaya wanawafuga kabisa sijui wana maana gani..!!!!
Unaweza kumuua wewe wenyewe au hadi upate msaada? Mie siwezi kabisaMkuu muda wa kumchunguza na kumtafakari kuwa ana sumu au laa.
Unakuta amekwisha kuwahi.
Sina huruma na nyoka wa aina yoyote yule duniani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana nilikumbuka uzi wako wa member wa jfheeee!!!!!
Namsaka hadi apatikane na kumuua.Unaweza kumuua wewe wenyewe au hadi upate msaada? Mie siwezi kabisa
hahahahahahaahahaahh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana nilikumbuka uzi wako wa member wa jf
hahahahhahaha, muda huu nacheka lakini jana nilitetemeka kila sehemu ya mwili. Sikulala usingizi mzuriNamsaka hadi apatikane na kumuua.
Uwe unashtua nije kukusaidia basi leo nahamia hapo kukusaidia.
Hii hatari!! Badala ya kuku kuliwa na binadamu, anapewa kiumbe ambaye ni adui hatari wa maisha ya binadamu...Ni kweli wengine wanawafuga tena watafutia chakula, hapa Mwanza kuna sehemu ina Bujora kuna makumbusho watalii wa nje na ndani wanatembelea humo, huwa wanafuga chatu, wanawalisha kuku na sungura, tena hao chatu hawali mzoga, inabidi kuku au sungura anaachiwa akianza kukimbia wao ndio wanamfukuza hadi wanamkamata
Wanatunzwa kwa gharama kubwa sana!Hii hatari!! Badala ya kuku kuliwa na binadamu, anapewa kiumbe ambaye ni adui hatari wa maisha ya binadamu...
Ndio matatazi ya kulala pekee yako.hahahahhahaha, muda huu nacheka lakini jana nilitetemeka kila sehemu ya mwili. Sikulala usingizi mzuri
Ndio matatazi ya kulala pekee yako.hahahahhahaha, muda huu nacheka lakini jana nilitetemeka kila sehemu ya mwili. Sikulala usingizi mzuri
hahahahahahahahhahhahahNdio matatazi ya kulala pekee yako.
Unatubania riziki kuja kukucompany usiku.
Pole mkuu, mwagia mafuta ya taa nyoka, na mafuta ya taa vitu viwili tofauti.Heri ya mwezi mpya wa Novemba, 2017 wanajf.
Jana muda wa saa mbili usiku nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!
Nyoka wa kimo cha kati, mweusi.
Nimeshangaa amepitia wapi na hali milango imefungwa, amewezaje kupita kwenye vigae na hali vigae vinateleza.
Niliogopa na hata kuchanganyikiwa!
Mungu mkubwa, ninaishi vizuri na majirani zangu waliweza kunisaidia kumuua!!!
Nimelala nastuka nastuka namuona kama vile ananipandia kitandani.
Naomba mnisaidie ushauri na kinga ya kuzuia huyo "ndudu" asiingie tena ndani na hali sioni sehemu ya kumuwezesha kupenya hadi ndani.
Ahsante ndugu yanguPole mkuu, mwagia mafuta ya taa nyoka, na mafuta ya taa vitu viwili tofauti.
Pole Mkuuaggyjay chini hakuna upenyo! ila mie kwa imani yangu ya kanisa katoliki nilichofanya nilinyunyizia maji ya Baraka nyumba nzima
Nyoosha maelezo tuhamiehahahahahahahahhahhahah