Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukitulia kabisa na kama tokea mwanzoni umeangalia Kesi ilivyoanza na inavyoenda huhitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ni Kesi ya 'Kimkakati' zaidi na lazima lililopangwa litokee.

Kwa nia njema tu nikaja na Threads zangu Mbili ( ambazo hata hivyo mpaka leo sijui kwanini ziliunganishwa au kufutwa ) kwa Makusudi kabisa nikitaka Mjadala wa 'Kihoja' uanze ili angalau Mawakili Wasomi wanaompambania waokote okote Mawili Matatu ya Kisheria waongezee na yao waliyonayo ili Mhusika anasurike na 'Kesi Mkakati' inayomkabili GENTAMYCINE nikaishia Kutukanwa, Kushambuliwa na Kudhihakiwa.

Haya baada ya Kilichotokea kwa hatua hii tu ya awali kile nilichokisema na Kukitahadharisha ukiwa na Akili Timamu na Kusoma pia Mazingira na Mtiririko wake mnadhani Mhusika haendi Kuozea Jela na labda ni suala la muda tu?

ANGALIZO

Sijamtaja Mtu katika Uzi wangu huu bali nimeelezea tu hivyo sitaki Kuulizwa namuongelea nani na mtakayemhisi huyo mmemuhusi nyie ila siyo Mimi Mleta Mada.

Taratibu sasa tutaanza Kuelewana JF!!!!
 
Hakuna Mahakama huru nchi hii.

Hii kesi ilistahili kufuwa siku nyingi tu.

Lengo ni kumuweka ndani wakiamini chama kitayumba na hii ni kwasababu akil zao ni fupi.
Wafuasi wake pamoja na wale Mnaonichukia pindi GENTAMYCINE nikisema tu Ukweli leo mbona hamnitukani, hamnidhihaki wala hamnishambulii kama mlivyofanya katika zile Threads zangu Mbili za kutoa ( kuwapeni ) Angalizo kama siyo Tahadhari?
 
Je wangefanya nini ili kumuokoa mwamba,saidia katika kuonyesha njia.Kilichotokea leo hakimhusu Mbowe bali wale washirika wengine na unapokazania kuwa mwamba ataozea jela kwa kipi hasa ambacho mpaka sasa kimemguza Mbowe?
 
Kwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa mbowe haki haikutendeka.
Acheni kuingilia uhuru wa mahakama kenge nyinyi.
Mkuu tena nakumbuka niliwaambia kuwa kama Sabaya atafungwa basi na Mwamba wao atafungwa na akiachiwa Huru nae Mwamba ataachiwa na kuwapa sababu ya 'Kimkakati' juu ya hili wakaacha Kunielewa na Kunitusi na Kunishambulia tu hapa.

Haya leo kiko wapi? Nikionya kinakuja.
 
Back
Top Bottom